Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa wasitisha kampeni saa 24

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umetangaza kusitisha kampeni zake kwa saa 24 ili kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mwenyekiti mwenza wa umoja huo, Dk Emmanuel Makaidi, ambaye anazikwa leo jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

TUJIKUMBUSHE KAMPENI ZA URAIS TANZANIA 2015: DK MAGUFULI AVUNJA REKODI YA UKAWA MKUTANO WA KAMPENI JIJINI MBEYA


Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akitembea kwa miguu baada ya kumaliza kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya, AGOSTI 28,2015. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOGMgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi baada ya kumaliza kujinadi  katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwa na...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Hatma ya Ukawa saa 48

WAKATI viongozi na makada na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakitarajia kupata mgombea wao wa nafasi ya urais mwishoni mwa wiki hii mjini Dodoma, hali bado haijaeleweka ndani ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Mapema wiki hii, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kilifanya kikao cha dharura cha Kamati Kuu, ambamo pamoja na ajenda nyingine, kikao kilitafakari kwa kina hatma ya Ukawa wakati huu Uchaguzi Mkuu ukikaribia.

Taarifa kutoka ndani ya kikao hicho...

 

10 years ago

Mwananchi

Hatima ya Ukawa saa 72

Hatma ya chama cha NCCR-Mageuzi kuwa ndani ya Ukawa itajulikana Jumamosi kwenye kikao cha Halmashauri Kuu Taifa, ambacho pamoja na mambo mengine, kitajadili taarifa za kutoridhishwa na mgawanyo wa majimbo ya uchaguzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa wakuna vichwa saa 48

>Saa 48 zilizotumika kikaoni kutafuta muafaka wa majimbo yenye utata ndani ya umoja wa vyama vya upinzani vilivyo chini ya Ukawa, zimekatika bila mafanikio na  mvutano unaonekana kubakia kwenye majimbo 12 kati ya 239 waliyopanga kugawana.

 

9 years ago

Mwananchi

Saa nane za uzinduzi wa kampeni za CCM Dar

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli jana alizindua kampeni za urais jijini Dar es Salaam katika tukio ambalo liliwavuta wanachama, wafuasi na mashabiki wa chama hicho tangu saa nne asubuhi mpaka saa 12.40 jioni.

 

9 years ago

Mtanzania

Ukawa kumuaga Mawazo kwa saa tano

Mawazo* Wapigwa marufuku kula, kunywa wakati wa kuaga

*Lowassa, Mbowe na Sumaye kuongoza waombolezaji

 

NA BENJAMIN MASESE, MWANZA

HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilemela imetoa saa tano kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutumia Uwanja wa Furahisha kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu Alphonce Mawazo, kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.

Akitoa ratiba mpya ya kuaga mwili wa Mawazo, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Geita mjini hapa jana, Kaimu...

 

9 years ago

Habarileo

Ukawa Morogoro wazindua kampeni

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Jimbo la Morogoro Mjini vimezindua kampeni zao kwa kumnadi mgombea wa ubunge kupitia Chadema, Marcossy Albanie pamoja na wagombea wa udiwani kwa kata 29.

 

9 years ago

Mwananchi

Siku 10 kampeni za Lowassa Ukawa

Elimu bure hadi chuo kikuu, kuondoa umaskini, kuondoa ushuru wa mazao, kuweka riba kwa mazao yanayokopwa, ujenzi wa viwanda na kuongeza kasi katika utendaji kazi serikalini, ni mambo yaliyoibuka katika siku 10 za kampeni za mgombea wa Chadema, Edward Lowassa.

 

11 years ago

Michuzi

UKAWA waendelea na Kampeni yao Pemba

Kiongozi wa UKAWA Freeman Mbowe, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Gombani ya Kale, Chake Chake Pemba. Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Gombani ya Kale, Chake Chake Pemba. Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Gombani ya Kale, Chake Chake Pemba. Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani