Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa wateka manispaa Dar es Salaam

Vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimefanikiwa kushinda kata nyingi katika jiji la Dar es Salaam na hivyo kuwa katika nafasi nzuri ya kuongoza mabaraza ya madiwani katika halmashauri za manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

manispaa za jiji la dar es salaam zaagizwa kubomoa majengo katika sehemu za wazi, kusafisha fukwe

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. George Simbachawene akizungumza na viongozi na watendaji wa Manispaa tatu za Jiji la Dar es Salaam kuhusu maagizo ya namna ya kusimamia maeneo ya wazi. Pia, ametoa siku 14 kuanzia jana Alhamisi kwa Manispaa hizo kubomoa maeneo ya wazi yaliyovamiwa ambayo yalikwishatolewa Ilani. Aidha, Naibu Waziri ametoa siku 30 kwa Manispaa ya Kinondoni kuwasilisha ofisini  kwake utaratibu wa namna ya kusafisha fukwe. 

 Watendaji wa Manispaa zote...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KIGAMBONI DK.FAUSTINE NDUGULILE AZINDUA MASHINDANO YA DIWANI CUP KATA YA KISARAWE TWO MANISPAA YA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM

Mbunge wa Kigamboni, Dk.Faustine Ndugulile (wa pili kulia), akizungumza na wachezaji wa timu za Dubu na Tumaini (hawapo pichani), wakati akifungua mashindano ya  kombe la umoja na mshikamano maarufu kama Diwani Cup yaliyoanza uwanja wa Kibamande eneo la Mwasonga Manispaa ya Temeke Dar es Salaam jana. Kulia ni mlezi wa mashindano hayo,  Diwani wa Kata ya Kisarawe II,  Issa Zahoro.Mlezi wa mashindano hayo Diwani wa Kata ya Kisarawe II,  Issa Zahoro, akikagua timu ya Dubu kutoka eneo la...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

UKAWA YAFANYA KWELI DAR ES SALAAM

Uchaguzi wa mwaka huu umeweka historia kubwa tangu vyama vingi vilipoanza kwa jiji la Dar es salaam kuwa na wabunge 6 wa upinzani huku ccm ikiambulia wabunge wanne Hilo halitoshi lakini pia UKAWA imeweza kufanikiwa kuwa na madiwani wengi kuliko CCM. <!--[if !supportLineBreakNewLine]--> <!--[endif]--> WILAYA YA KINONDONI <!--[if !supportLineBreakNewLine]--> <!--[endif]--> Jimbo la UBUNGO -

 

9 years ago

Michuzi

VYUMBA VYA KUPIMIA NGUO KABLA YA KUNUNULIWA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM VILITUMIKA KUDHALILISHA WANAWAKE

Wawezeshaji wa Sheria katika soko la Mchikichini katika Manispaa ya Ilala, wakiwa na mabango ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi baada ya kuzungumza na waaandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi wanaotembelea masoko yaliyopo katika Manispaa hiyo kuona maendeleo ya vita ya  kupinga udhalilishaji wa kijinsia katika masoko hayo baada ya Shirika la Equality for Growth linaloendesha mradi huo kutoa mafunzo kwa Wawezeshaji wa Sheria wanaoshirikiana na wafanyabiashara katika vita hivyo.Mwezeshaji...

 

10 years ago

Vijimambo

Maandamano ya CHADEMA, UKAWA jijini Dar es Salaam

Wananchi wamefanya maandamano huko Manzese jijini Dar es Salaam wakipinga kile wanachokiita ni wizi unaoendelea ndani ya bunge Maalum la Katiba ikiwa ni mwendelezo wakutimiza tamko la Mwenyekiti wa CHADEMA na UKAWA la kufanya maandamano nchi nzima kupinga mchakato huo.

 

10 years ago

Michuzi

Wazee wa Dar es salaam wawataka UKAWA kurudi Bungeni. Na

 Immaculate Makilika –MAELEZO_DAR ES SALAAM WAZEE wa Mkoa wa Dar es salaam wamewaomba Umoja wa Katiba wa Wananchi (UKAWA) kurudi Bungeni ili kuendelea na mchakato wa majadiliano ya Rasimu ya Katiba Mpya yanayoendelea.  Wazee hao wamesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya siasa nchini pamoja na Bunge la Katiba Mpya linaloendelea mjini Dodoma. Akizungumza kwa niaba ya Wazee wenzake Kepteni Mstaafu Alhaji Mohamedi Ligora , amesema kuwa...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

MKUTANO WA MWISHO WA KAMPENI YA URAIS WA UKAWA KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI DAR ES SALAAM.

Mgombea Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Ndugu Edward Ngoyai Lowassa akihutubia mamia ya wananchi waliohudhuria mkutano mkubwa wa kufunga kampeni za Urais uliofanyika katika viwanja vya Jangwani Dar es salaam. Pichani kutoka kushoto Mwenyekiti mwenza wa UKAWA Mh Freeman Mbowe, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mh Edward Lowassa na Mgombea urais wa Zanzibar Mh

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Kambi ya Upinzani Bungeni yaandaa futari wakati wa kikao cha ukawa jijini Dar es salaam

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa akishiriki futari iliyoandaliwa na Ofisi ya Kambi ya Upinzani Bungeni wakati wa kikao cha Viongozi Wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na wabunge wa umoja huo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam kujadili mikakati mbalimbali ya ushindi kuelekea uchaguzi mkuu. Kushoto kwake ni Mbunge wa CUF, Ali Khamis Seif (Mkoani) na kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa NLD Zanzibar, Ahmad Hemed. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Akiwanadi Wagombea Uongozi Serikali za Mitaa wa UKAWA viwanja Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.

 Umati wa watu wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe wakati wa mkutano wa kuwanadi wagombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia UKAWA katika Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akihutubia katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika katika viwanja Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani