Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa ‘watia mchanga’ uzinduzi wa Bunge

Wabunge wa vyama vinavyounda Ukawa jana walivuruga Bunge kwa muda kwa kuimba jina la Maalim Seif Sharif Hamad walipokuwa wakipinga kuingia bungeni Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kwa madai kuwa uongozi wake uliisha Novemba 2, baada ya Uchaguzi Mkuu uliofutwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAASKOFU WATIA NENO BUNGE LA KATIBA

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo . Stori: Mwandishi Wetu, Iringa
MAASKOFU wa Madhehebu ya Kikristo mkoani hapa wamelionya  bunge la katiba na kuwataka wajumbe wake kuzingatia mahitaji ya wananchi wakati wa kuandika katiba mpya. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex… ...

 

11 years ago

Habarileo

Ukawa yapata Ukawa-nje ya Bunge

Dk Willibrod SlaaBAADA ya kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ndani ya Bunge Maalum la Katiba, vyama vya siasa vya upinzani ,vimeunda umoja wa aina hiyo nje ya bunge hilo (UKAWA- nje) na kupanga kuwashawishi wananchi nchi nzima kudai Katiba yenye kujali maslahi yao.

 

9 years ago

Vijimambo

Uzinduzi Ukawa wamtikisa Sitta.

Hoja zilizotolewa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakati wa kuzindua kampeni za mgombea wake wa urais kupitia Chama cha Demokrasia (Chadema), Edward Lowassa Jumamosi iliyopita, zimemtisha na kumuibua Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta.

Waziri huyo ameibuka na baadhi ya hoja hizo akizitumia kama ahadi za Chama Cha mapinduzi (CCM) kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

Baadhi ya ahadi hizo zilishatolewa na Chama hicho, lakini hazijaanza kutekelezwa hadi sasa.

Akizungumza na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Uzinduzi wa kampeni za UKAWA, Jangwani yatapika

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia Ukawa, Mh Edward Lowassa akiongea na wakazi wa jiji la Dar waliojitokeza katika uzinduzi wa Kampeni za Ukawa katika viwanja vya Jangwani mapema leo.Mh Lowassa amesema kipaumbele chake kimoja wapo ni Elimu huku akisisitiza kuwa kampeni zao zitakuwa ni za busara na hekima bila kutumia matusi. Mke wa Mgombea Urais kupitia Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Mama Regina Lowassa akitoa salamu kwa wakazi wa Jiji la Dar Waliojitokeza katika uzinduzi wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Wasomi watoa mitazamo tofauti uzinduzi wa kampeni za Ukawa

Wakati joto la uchaguzi mkuu likiendelea kupanda baada ya vyama vinavyounda ukawa kuzindua kampeni zake juzi, baadhi ya wasomi na wananchi wamekuwa na maoni tofauti.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkapa, Sumaye wakosa uzinduzi Bunge la Katiba

>Rais mstaafu, Benjamin Mkapa na mawaziri wakuu wastaafu, Frederick Sumaye na Cleopa Msuya, jana hawakuhudhuria uzinduzi wa Bunge la Maalumu la Katiba kama ambavyo ilitangazwa na Katibu wa Bunge la Katiba

 

9 years ago

Bongo Movies

Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

Credit:MillardAyo.Com

 

9 years ago

StarTV

Serikali Yakataa Ombi la UKAWA Kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni Za Uchaguzi Mkuu

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) akikanusha kuhusu Chadema kutumia Uwanja wa Taifa kuzindua kampeni zake siku ya tarehe 22 Agosti, 2015 jijini Dar es Salaam. Kanusho hilo lilitolewa katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) uliopo jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia taarifa kutoka Serikalini kuhusu Chadema kutumia Uwanja wa Taifa kuzindua kampeni zake siku ya tarehe 22 Agosti, 2015 jijini Dar es Salaam. Kanusho hilo lilitolewa katika Ukumbi wa Idara...

 

11 years ago

Dewji Blog

Sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge zawakumbusha Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuwa Wazalendo

 

MW1A Makamu wa Rais wa Jahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal akipokea kijingi cha moto kutoka kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara, tayari kwa kuuwasha Mwenge wa Uhuru na kuzindua rasmi mbio za mwenge huo leo mjini Bukoba Mkoani Kagera.

Na: Aron Msigwa na Frank Shija- MAELEZO

Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal ametoa wito kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kufanya maamuzi yanayozingatia maslahi mapana ya taifa ili kufanikisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani