Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa watumia Bunge kunadi ahadi za uchaguzi

CECILIA PARESONa Khamis Mkotya, Dodoma
KAMBI ya Upinzani bungeni imekuja na mbinu mpya baada ya kuamua kulitumia Bunge kutangaza ahadi mbalimbali iwapo Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) utashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Miaka iliyopita wakati wa Bunge la Bajeti, kambi hiyo imekuwa ikiishauri Serikali kuhusu jinsi ya kuongeza mapato, lakini safari hii hotuba za upinzani zimejikita katika kutoa ahadi.
Hali hiyo ilijidhihirisha jana wakati Msemaji wa Kambi ya Upinzani bungeni, Secilia...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Ukawa watumia kauli za Kinana kuichongea CCM kwa wananchi

MnyaaNa Elias Msuya, Tanga

ZIARA ya Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Duni Haji, imeingia mkoani Tanga huku viongozi walio kwenye msafara wake wakiwakaanga wagombea ubunge wa CCM kwa kauli ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana aliyesema chama chake kimejaa wezi, wanafiki na majambazi.

Kinana alitamka maneno hayo alipozungumza kwenye mkutano wa hadhara  mjini Moshi mkoani Kilimanjaro...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM watumia Bunge kumzima Warioba

BAADA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukwama kumdhibiti Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, aondoe pendekezo la muundo wa Muungano wa Serikali Tatu kwenye Rasimu ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Ahadi za Ukawa zaitikisa Serikali

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikiendelea kushika kasi, ahadi za mgombea urais Chadema anayeungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa zimeanza kuichanganya Serikali na jana Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta aliibuka na kudai mgombea huyo anaahidi mambo ambayo tayari yanatekelezwa na Serikali ya CCM.

 

9 years ago

Mwananchi

Ahadi za CCM Uchaguzi Mkuu

Hatimaye Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeipua Ilani yake ya Uchaguzi kwa mwaka 2015-2020, ikitaja mambo makuu manne ya kushughulkikia katika miaka mitano ijayo, ambayo ni kupambana na umaskini, ajira kwa vijana, ulinzi na usalama na kupambana na rushwa kwa kuanzisha mahakama maalumu ya makosa hayo.

 

11 years ago

Habarileo

Ukawa yapata Ukawa-nje ya Bunge

Dk Willibrod SlaaBAADA ya kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ndani ya Bunge Maalum la Katiba, vyama vya siasa vya upinzani ,vimeunda umoja wa aina hiyo nje ya bunge hilo (UKAWA- nje) na kupanga kuwashawishi wananchi nchi nzima kudai Katiba yenye kujali maslahi yao.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Presha’ ya uchaguzi, ahadi zawatorosha wabunge Dodoma

Baadhi ya wabunge wamesema kukosekana bungeni kwa wenzao wanaofikia 200 hata kuhesabiwa ni watoro, kumetokana na wengi wao kutokamilisha ahadi kwa wapigakura wao walizotoa mwaka 2010, hivyo kulazimika kukimbilia majimboni ili kujaribu kuzikamilisha.

 

10 years ago

Michuzi

5 years ago

BBCSwahili

Vital Kamerhe: Ufisadi, ahadi zisizotekelezeka na uchaguzi 2023

Ni miezi michache tu baada ya kufanyika kwa uchaguzi uliomuweka madarakani Rais Felix Tshisekedi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), lakini sasa mshirika wake mkuu Vital Kamerhe yuko gerezani baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 20 kwa tuhuma za ufisadi.

 

10 years ago

Mwananchi

SALAMU KUTOKA KWA MHARIRI :Ahadi yetu uchaguzi wa 2015

Ndani ya siku 131 kuanzia leo, Watanzania watakuwa wameingia katika shughuli ya kutekeleza wajibu wao kikatiba wa kuchagua madiwani, wabunge na muhimu sana, Rais wa tano tangu nchi yetu ya Tanzania ipate uhuru miaka 54 iliyopita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani