UKAWA yaiponza CHADEMA
IMEBAINIKA kwamba msukosuko unaotokea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) unatokana na hasira za serikali kushindwa kushawishi chama hicho na vingine vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kurejea...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen13 May
Ukawa flag bearer most likely from Chadema to emerge from Chadema
11 years ago
Mwananchi05 Apr
Jeuri yaiponza Yanga kwa mahakama
11 years ago
Mtanzania13 Aug
Chadema kuwatimua waliosaliti Ukawa
![Dk. Wilbrod Slaa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Slaa.jpg)
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa
NA SHABANI MATUTU
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa kazi ya kuwaadhibu wajumbe wa Bunge la Katiba waliokaidi makubaliano ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kwa kuingia katika Bunge Maalumu la Katiba wataadhibiwa na vikao maalumu vya chama.
Hayo aliyasema jijini Dar es Salaam jana, alipokuwa akizungumza na wanahabari.
Alisema yeyote aliyekiuka maazimio ya Ukawa na kuingia kwenye vikao vya Bunge...
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Chadema ‘yavunja’ makubaliano Ukawa
9 years ago
TheCitizen29 Oct
Ukawa gives Chadema, CUF more seats
9 years ago
Mzalendo Zanzibar01 Oct
Mkutano wa Chadema /Ukawa Kawe 01/10/2015
The post Mkutano wa Chadema /Ukawa Kawe 01/10/2015 appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi27 Mar
Urais Ukawa, hesabu zinalalia Chadema
10 years ago
Habarileo21 Aug
Chadema: Mazungumzo na Ukawa jambo la heri
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema mazungumzo ya kusaka muafaka na kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni jambo la heri na kwamba yanastahili kuendelea hadi kufikia suluhu.
10 years ago
Habarileo05 Aug
Wasomi watabiri anguko la Chadema, Ukawa
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Taifa ya Chadema, Freeman Mbowe kukiri kupumzika kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk Willbrod Slaa, wasomi na wanachama wa chama hicho, wamedai kuwa huo ni mwanzo wa kupasuka kwa chama hicho na kusambaratika kwa umoja wa vyama vinne vya upinzani vinavyounda Ukawa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.