Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukerewe waendelea kupokea walimu wapya

IDARA ya Elimu ya sekondari katika wilaya ya Ukerewe, Mwanza, inaendelea kupokea walimu waliopangiwa kazi katika wilaya hiyo hata baada ya muda wa kufanya hivyo kumalizika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni

Mwalimu mahiri ni mwalimu mwenye uwezo wa kumudu kufundisha somo lake kikamilifu na kisha kutoa maarifa sahihi kwa mujibu wa maelekezo ya silabasi.

 

5 years ago

Michuzi

Wagonjwa wapya 53 wa corona waongezeka, Amana Sasa kupokea wenye dalili badala ya Muhimbili

SERIKALI imetangaza watu wapya 53 ambao wameambukizwa VIRUSI vya Corona nchini na hivyo kufanya jumla ya wagonjwa kufikia 147 tangu kutajwa kwa mgonjwa wa kwanza tarehe 16/03/2020, huku Hospitali ya Rufaa ya Amana ikiagizwa rasmi kupokea wagonjwa wenye dalili ya ugonjwa wa Corona badala ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu  wakati akipokea misaada kutoka katika kampuni mbalimbali kwa ajili...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU DODOMA YAWAONYA WATAKAOTOA NA KUPOKEA RUSHWA UCHAGUZI CHAMA CHA WALIMU

Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma, Sosthnes Kibwengo akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake jijini Dodoma.
Charles James, Michuzi TVZIKIWA zimebaki siku mbili kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Viongozi wa kitaifa wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoani Dodoma imetoa onyo kwa wale wote watakaotoa na kupokea Rushwa.
Uchaguzi huo wa CWT utafanyika Juni 5 jijini Dodoma ambapo utachagua Rais, Makamu wa Rais,...

 

11 years ago

Habarileo

‘Wapokeeni vizuri walimu wapya’

WAKATI walimu wapya 18,093 wa shule za sekondari walitakiwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi kuanzia juzi, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetaka wakurugenzi, maofisa elimu na wakuu wa shule, kuwapokea vizuri wasikimbie maeneo yao ya kazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu wapya waandamana Mwanza

ZAIDI ya walimu 50 kutoka shule mbalimbali za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Manispaa ya Nyamagana mkoani hapa, jana waliandamana hadi ofisi za mkurugenzi wa halmashauri kushinikiza kulipwa mshahara wa mwezi uliopita....

 

11 years ago

Mwananchi

Walimu wapya 32 waripoti, watano wajawazito

Walimu32 katiya 52 wa shule za msingi waliopangiwa wilayani Urambo, tayari wameripoti huku 20 wakipangiwa vituo vya kazi.

 

10 years ago

Habarileo

Zatumwa bil 10/- kulipa walimu wapya

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu NchembaSERIKALI imetuma Sh bilioni 10 katika mikoa mbalimbali nchini kwa ajili ya kuwalipa walimu wapya ambao wameripoti kazini mapema mwezi uliopita.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuwawezeshe walimu wapya wadumu shuleni

Hivi karibuni serikali ilitangaza ajira mpya kwa walimu. Katika taarifa hiyo walimu 36,021 waliohitimu mafunzo mwaka 2013 walihusishwa katika mchakato huo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunda yapata walimu wapya 223

SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imeipatia Wilaya ya Bunda jumla ya walimu wapya 223, wakiwemo wa sekondari 137 na shule za msingi 86. Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani