‘Wapokeeni vizuri walimu wapya’
WAKATI walimu wapya 18,093 wa shule za sekondari walitakiwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi kuanzia juzi, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetaka wakurugenzi, maofisa elimu na wakuu wa shule, kuwapokea vizuri wasikimbie maeneo yao ya kazi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Walimu wapya waandamana Mwanza
ZAIDI ya walimu 50 kutoka shule mbalimbali za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Manispaa ya Nyamagana mkoani hapa, jana waliandamana hadi ofisi za mkurugenzi wa halmashauri kushinikiza kulipwa mshahara wa mwezi uliopita....
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-b_h0a_mdxZA/XlkaxWPTtQI/AAAAAAALf3s/MLnDt2sjJ84KnzbtRz8SjrdiwVRrOBL-ACLcBGAsYHQ/s72-c/6a.jpg)
KALIUA YATOA MILIONI 10 WALIMU WALIOFANYA VIZURI KATIKA
NA TIGANYA VINCENT
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kaliua imetoa shilingi milioni 10 za motisha na vyeti kwa shule za msingi na sekondari zilizofanya vizuri katika mitihani ya kitaifa.
Kauli hiyo imetolewa jana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Dkt. John Pima wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo.
Alisema kuwa lengo la kutoa fedha hizo ni kutoa motisha kwa ajili ya kuwahamisha walimu waongeze juhudi ili kuondoa daraja sifuri na daraja la nne.
Dkt. Pima alisema...
11 years ago
Mwananchi29 Apr
Tuwawezeshe walimu wapya wadumu shuleni
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Bunda yapata walimu wapya 223
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imeipatia Wilaya ya Bunda jumla ya walimu wapya 223, wakiwemo wa sekondari 137 na shule za msingi 86. Mkurugenzi Mtendaji wa...
10 years ago
Habarileo05 Jun
Zatumwa bil 10/- kulipa walimu wapya
SERIKALI imetuma Sh bilioni 10 katika mikoa mbalimbali nchini kwa ajili ya kuwalipa walimu wapya ambao wameripoti kazini mapema mwezi uliopita.
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Walimu wapya 32 waripoti, watano wajawazito
11 years ago
Habarileo10 May
Ukerewe waendelea kupokea walimu wapya
IDARA ya Elimu ya sekondari katika wilaya ya Ukerewe, Mwanza, inaendelea kupokea walimu waliopangiwa kazi katika wilaya hiyo hata baada ya muda wa kufanya hivyo kumalizika.
11 years ago
Habarileo05 Jun
Walimu wengine wapya 2,219 kuajiriwa nchini
SERIKALI itaajiri walimu wengine wapya wapatao 2,219, kufundisha katika shule za msingi na sekondari nchini. Walimu hao ni mbali na wengine wapya 33,894, ambao wameajiriwa hadi kufikia Mei 30, mwaka huu, Bunge lilielezwa mjini hapa jana.