Walimu wengine wapya 2,219 kuajiriwa nchini
SERIKALI itaajiri walimu wengine wapya wapatao 2,219, kufundisha katika shule za msingi na sekondari nchini. Walimu hao ni mbali na wengine wapya 33,894, ambao wameajiriwa hadi kufikia Mei 30, mwaka huu, Bunge lilielezwa mjini hapa jana.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo11 Mar
Walimu wapya 36,021 kuajiriwa Aprili Mosi
SERIKALI imesema kuanzia Aprili Mosi, mwaka huu itaajiri rasmi jumla ya walimu wapya 36,021, ambao wamehitimu masomo yao mwaka 2013 kutoka vyuo mbalimbali. Walimu hao watakaoajiriwa rasmi na Halmashauri, walimu wa ngazi ya cheti Daraja la III A ambao hufundisha shule za msingi ni 17,928 na walimu wa shule za sekondari 18,093.
10 years ago
Habarileo21 Feb
Walimu 35,000 kuajiriwa mwaka huu
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari, ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini.
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni
11 years ago
Mwananchi20 Jan
JK atema wengine watano, wapya ni 10
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Wenye ulemavu kitendawili kuajiriwa nafasi nyeti nchini
HAKI ya kufanya kazi ni ya msingi na isiyotenganishwa na haki nyingine za kibinadamu ambazo kila mtu aliyefikisha miaka 18 anapaswa kuipata na kunufaika nayo kwa usawa hapa nchini. Kulingana...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NeZSb8inmZg/XsNwbcdl5GI/AAAAAAALqtU/fB7I1rBmzecoLfLGFJIJnH212rT3ZKKxwCLcBGAsYHQ/s72-c/873cfe13-d758-4251-8b9e-f44638d623d6.jpg)
JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI
Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .
Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.
Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...
11 years ago
Habarileo03 Apr
‘Wapokeeni vizuri walimu wapya’
WAKATI walimu wapya 18,093 wa shule za sekondari walitakiwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi kuanzia juzi, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetaka wakurugenzi, maofisa elimu na wakuu wa shule, kuwapokea vizuri wasikimbie maeneo yao ya kazi.
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Walimu wapya waandamana Mwanza
ZAIDI ya walimu 50 kutoka shule mbalimbali za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Manispaa ya Nyamagana mkoani hapa, jana waliandamana hadi ofisi za mkurugenzi wa halmashauri kushinikiza kulipwa mshahara wa mwezi uliopita....
11 years ago
Habarileo10 May
Ukerewe waendelea kupokea walimu wapya
IDARA ya Elimu ya sekondari katika wilaya ya Ukerewe, Mwanza, inaendelea kupokea walimu waliopangiwa kazi katika wilaya hiyo hata baada ya muda wa kufanya hivyo kumalizika.