Walimu wapya 36,021 kuajiriwa Aprili Mosi
SERIKALI imesema kuanzia Aprili Mosi, mwaka huu itaajiri rasmi jumla ya walimu wapya 36,021, ambao wamehitimu masomo yao mwaka 2013 kutoka vyuo mbalimbali. Walimu hao watakaoajiriwa rasmi na Halmashauri, walimu wa ngazi ya cheti Daraja la III A ambao hufundisha shule za msingi ni 17,928 na walimu wa shule za sekondari 18,093.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo05 Jun
Walimu wengine wapya 2,219 kuajiriwa nchini
SERIKALI itaajiri walimu wengine wapya wapatao 2,219, kufundisha katika shule za msingi na sekondari nchini. Walimu hao ni mbali na wengine wapya 33,894, ambao wameajiriwa hadi kufikia Mei 30, mwaka huu, Bunge lilielezwa mjini hapa jana.
10 years ago
Habarileo21 Feb
Walimu 35,000 kuajiriwa mwaka huu
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari, ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini.
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Kesi ya Zitto kutajwa Aprili mosi
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3CMaXxxXqFo/Xk6YWGWpw4I/AAAAAAALejY/LFbSxFLetusKihq49TkP-fCsAhbK4xLSwCLcBGAsYHQ/s72-c/unnamed.jpg)
UKWELI KESI YA MDEE KUJULIKANA APRILI MOSI
![](https://1.bp.blogspot.com/-3CMaXxxXqFo/Xk6YWGWpw4I/AAAAAAALejY/LFbSxFLetusKihq49TkP-fCsAhbK4xLSwCLcBGAsYHQ/s400/unnamed.jpg)
Uamuzi huo utatolewa na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kufuatia upande wa mashtaka uliowakilishwa na wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo Simon kudai mahakamani hapo leo Februari 20, 2020 kuwa wamedunga ushahidinhao.
"Mheshimiwa shauri leo limekuja kwa kutajwa lakini nimepitia ushahidi uliotolewa na mashahidi watatu...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Twanga kutambulisha wapya Idd Mosi Dar
BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ imepanga kutambulisha rasmi wanenguaji wapya watatu waliotokea Extra Bongo na Malaika siku ya onyesho lake la Idd Mosi katika ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni,...
10 years ago
Mtanzania02 May
Bango la walimu lazua gumzo Mei Mosi
Na Elizabeth Mjatta
BANGO lililobebwa na walimu katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi jana likiwa na maandishi yanayosomeka “Shemeji unatuachaje?”, limezua gumzo katika maeneo mbalimbali nchini, hususan katika mitandao ya kijamii.
Jana katika maadhimisho hayo ambayo kitaifa yalifanyika mkoani Mwanza na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, walimu walipita mbele ya Rais Kikwete ambaye alikuwa mgeni rasmi huku wakiwa wamebeba bango hilo.
Wakipita mbele ya Rais Jakaya Kikwete, walimu hao...
11 years ago
Habarileo03 Apr
‘Wapokeeni vizuri walimu wapya’
WAKATI walimu wapya 18,093 wa shule za sekondari walitakiwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi kuanzia juzi, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetaka wakurugenzi, maofisa elimu na wakuu wa shule, kuwapokea vizuri wasikimbie maeneo yao ya kazi.
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Walimu wapya waandamana Mwanza
ZAIDI ya walimu 50 kutoka shule mbalimbali za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Manispaa ya Nyamagana mkoani hapa, jana waliandamana hadi ofisi za mkurugenzi wa halmashauri kushinikiza kulipwa mshahara wa mwezi uliopita....