Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKWELI KESI YA MDEE KUJULIKANA APRILI MOSI

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imesema Aprili Mosi Mwaka  huu itatoa uamuzi dhidi ya kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kama ana kesi ya kujibu au la.
Uamuzi huo utatolewa na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kufuatia upande wa mashtaka uliowakilishwa na wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo Simon kudai mahakamani hapo leo Februari 20, 2020 kuwa wamedunga ushahidinhao.
"Mheshimiwa shauri leo limekuja kwa  kutajwa lakini nimepitia ushahidi uliotolewa na mashahidi watatu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kesi ya Pinda kujulikana Aprili 17

HATIMA ya kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu Mizengo Pinda itajulikana Aprili 17 mwaka huu, wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na upande wa mawakili wa Pinda.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi ya Zitto kutajwa Aprili mosi

 Kesi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe, dhidi ya chama hicho, imepangwa kutajwa Aprili mosi mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Walimu wapya 36,021 kuajiriwa Aprili Mosi

SERIKALI imesema kuanzia Aprili Mosi, mwaka huu itaajiri rasmi jumla ya walimu wapya 36,021, ambao wamehitimu masomo yao mwaka 2013 kutoka vyuo mbalimbali. Walimu hao watakaoajiriwa rasmi na Halmashauri, walimu wa ngazi ya cheti Daraja la III A ambao hufundisha shule za msingi ni 17,928 na walimu wa shule za sekondari 18,093.

 

9 years ago

Mwananchi

Kesi ubunge Mbagala kujulikana Februari

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, inatarajia kupanga tarehe ya usikilizwaji wa kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi Jimbo la Mbagala, Februari 4, mwakani.

 

10 years ago

Habarileo

Hatima kesi ya Mtikila Aprili 30

HATIMA ya kesi iliyofunguliwa na Mchungaji Christopher Mtikila katika Mahakama ya Rufaa akipinga uuzwaji wa jengo la iliyokuwa Forodhani Hoteli itajulikana Aprili 30 mwaka huu ambako Msajili wa Mahakama hiyo atasoma uamuzi.

 

10 years ago

GPL

KESI YA CHID BENZI YAAHIRISHWA HADI DESEMBA MOSI

Chid Benz (kushoto mwenye shati la bluu) akiingia katika lango la mahakama. ...Akiingia katika chumba cha kusikiliza kesi inayomkabili.…

 

11 years ago

GPL

KESI YA KIFO CHA KANUMBA... LULU AANIKA UKWELI

Stori: Waandishi Wetu
MWANGA umeanza kuonekana juu ya kesi inayomkabili staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kumuua bila kukusudia staa mwenzake wa muvi, Steven Charles Meshack Kusekwa Kanumba ambapo safari hii aliamua kukiri vipengele kibao, Risasi Mchanganyiko lina habari yote. Akikiri mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania juzi (Jumatatu) wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa, nyota huyo...

 

5 years ago

CCM Blog

HALIMA MDEE AKUTWA NA KESI YA KUIBU


Mbunge wa Kawe, Halima Mdee anayekabiliwa na kesi ya uchochezi wa kutoa maneno ya kuudhi dhidi ya Rais John Magufuli, amekutwa na kesi ya kujibu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Hatua hiyo inatokana na uamuzi uliotolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba.Hakimu Simba amesema kuwa mahakama hiyo imemkuta Mdee na kesi ya kujibu na kwamba anatakiwa kuwasilisha utetezi wake mahakamani hapo.Uamuzi huo umetokana na Upande wa Mashtaka kufunga ushahidi wake Februari 20, 2020 .Mdee kupitia...

 

9 years ago

Mwananchi

Kesi ya Halima Mdee yapigwa kalenda

Kesi inayomkabili Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Halima Mdee na wenzake nane iliyokuwa isikilizwe kesho, sasa itasikilizwa Oktoba 8, 2015 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani