Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi ya Pinda kujulikana Aprili 17

HATIMA ya kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu Mizengo Pinda itajulikana Aprili 17 mwaka huu, wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na upande wa mawakili wa Pinda.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UKWELI KESI YA MDEE KUJULIKANA APRILI MOSI

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imesema Aprili Mosi Mwaka  huu itatoa uamuzi dhidi ya kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kama ana kesi ya kujibu au la.
Uamuzi huo utatolewa na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kufuatia upande wa mashtaka uliowakilishwa na wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo Simon kudai mahakamani hapo leo Februari 20, 2020 kuwa wamedunga ushahidinhao.
"Mheshimiwa shauri leo limekuja kwa  kutajwa lakini nimepitia ushahidi uliotolewa na mashahidi watatu...

 

9 years ago

Mwananchi

Kesi ubunge Mbagala kujulikana Februari

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, inatarajia kupanga tarehe ya usikilizwaji wa kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi Jimbo la Mbagala, Februari 4, mwakani.

 

10 years ago

Habarileo

Hatima kesi ya Mtikila Aprili 30

HATIMA ya kesi iliyofunguliwa na Mchungaji Christopher Mtikila katika Mahakama ya Rufaa akipinga uuzwaji wa jengo la iliyokuwa Forodhani Hoteli itajulikana Aprili 30 mwaka huu ambako Msajili wa Mahakama hiyo atasoma uamuzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi ya Zitto kutajwa Aprili mosi

 Kesi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe, dhidi ya chama hicho, imepangwa kutajwa Aprili mosi mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi ya Pinda yapigwa kalenda

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana ilishindwa kutoa uamuzi wa pingamizi la Jamhuri katika kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa mara ya pili mfululizo na sasa imepanga kuutoa Juni 6, mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Hatima kesi ya Pinda leo

HATIMA ya kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu Mizengo Pinda inatarajiwa kujulikana leo wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na upande wa mawakili wa Pinda pamoja na Mwanasheria Mkuu (AG).

 

11 years ago

Mwananchi

Hatima pingamizi kesi ya Pinda leo

Hatima ya kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda inatarajiwa kujulikana leo, wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na walalamikiwa katika kesi hiyo, Pinda na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG).

 

11 years ago

Mwananchi

Washauri kesi dhidi ya Pinda kutupwa

Upande wa walalamikiwa katika kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, umeomba Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali kesi hiyo, ukidai kuwa walalamikaji wameshindwa kujibu hoja za pingamizi lao, dhidi ya kesi hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Uamuzi pingamizi kesi ya Pinda Apr 17

Hatima ya kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda sasa itajulikana Aprili 17, 2014, wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani