Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukiona Demu Kulia Sijapiga- Niva

Mwigizaji anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu Zuber Mohamed ‘Niva’ ametoa ya mwaka baada ya kusema kuwa upigaji wa picha na wanawake una maana kubwa kwake tofauti na mastaa wengine ambao hawana fomula ujipigia picha tu.

“Kaka ukiona nipiga picha na Demu halafu yupo kulia ujue huyu siyo mwenzangu na sijapiga ni just Friend tu, hila mpenzi wangu lazima nikipiga picha nitamweka mkono wangu wa kushoto na si kulia, elimuhiyo,”anasema Niva.

Niva anaonekana katika picha mbalimbali akiwa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Niva Anakesha, Ila Hana Demu

MSANII nyota kwenye tasnia ya filamu nchini, Mohamed Zuberi ‘Niva’ amesema licha ya kupenda kukesha katika klabu za usiku, lakini ‘anashukuru’ hajawahi kuchunwa na wanawake.

Niva ambaye amekuwa akiwakosha mashabiki wa filamu kwa filamu zake, alisema kikubwa zaidi anachokutana nacho ni kushuhudia mateso makubwa waliyonayo wanaume wenye kupenda kuhonga. “Kwa kweli huwa nashangaa jamaa wanaotumia mkwanja kuonga kwa ajili ya mapenzi, inashangaza mno na wanashindwa kufikia malengo yao ya...

 

11 years ago

GPL

JOKATE: SIJAPIGA PICHA ZA UTUPU

Stori: Nyemo Chilongani Sexy lady Jokate Mwegelo amekanusha vikali kuhusiana na picha za utupu zilizozagaa mitandaoni hivi karibuni kuwa si zake. Sexy lady Jokate Mwegelo akiwa kwenye pozi tofauti. Akizungumzia ishu hiyo, Jokate ambaye pia ni mwigizaji alisema kuna mitandao imeanzisha uvumi huo kwa kuweka picha ya mtumwingine na kudai ni yeye.… ...

 

11 years ago

GPL

MTITU, NIVA WAZICHAPA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Ukisikia paaa! Mastaa vidume wa Bongo Movies, William Mtitu na Zuberi Mohamed ‘Niva’ wanadaiwa kutoelewana na kuzichapa kavukavu kabla ya kuamuliwa na watu waliokuwa nao kwenye mandhari ya kurekodia sinema (location). Mkali wa Bongo Movies, William Mtitu. Kwa mujibu wa sosi wa tukio hilo lililojiri maeneo ya Kijichi jijini Dar, hivi karibuni, kisa cha wawili hao kutupiana...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kuambiana Amliza Niva

Zuberi Mohamed ‘Niva’ amesema filamu ya ‘Kipaji Changu’ aliyoigiza na marehemu Adam Kuambiana (Pichani),humtoa machozi kila anapoitazama.

“Kipaji Changu” imetoka  wiki iliyopita lakini filamu hiyo ilichezwa muda mfdupi  kabla ya kufariki kwa Kuambiana Mei Mwaka jana.

Akizungumza swala hilo, Niva alisema “Filamu hii imenipa mawazo ambayo nahisi kama bado kuambiana yupo.”

Chanzo: Nipashe

 

10 years ago

Bongo Movies

Mimi Siyo Marioo — Niva

Mwigizaji wa filamu Zubery Mohamed ‘Niva’ amekanusha kuwa yeye siyo Marioo yaani analelewa na wanawake bali ni jina tu ambalo limetokana na wimbo wake alioufanya na kurekodi.

 “Napata shida sana watu wananiona eti mimi Marioo jina hili nimepewa na mpenzi wangu ambaye simtaji kwa jina lake mimi ni mwanaume ninayejua majukumu yangu wala simtegemei mwanamke yoyote zaidi ya wao kujipendekeza kwangu,”anasema Niva.

Niva anasema kuwa wapo wasanii wanyonge wenye tabia hizo lakini si kwake kwani...

 

10 years ago

GPL

NIVA AUANIKA ‘UBAVU’WAKE

Imelda mtema
STAA wa Bongo Movies, Zubery Mohamed ‘Niva’ amemuanika mpenzi wake wa sasa aliyemtambulisha kwa jina la Maisala na kuweka bayana kwamba hahitaji tena mwanamke mwingine. Staa wa Bongo Movies, Zubery Mohamed ‘Niva akiwa na mpenzi wake. Akizungumza na mwanahabari wetu, Niva alisema alifanya tathimini ya kina na kuamua kutulia na mwanamke huyo kukwepa habari zile za kurukaruka leo huyu kesho...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mwigizaji Niva na Ndoto Kubwa Kutoka Katika Muziki

Staa wa filamu Niva ameweka wazi kuwa licha ya kuwepo kwa changamoto kadhaa kufanya muziki akiwa tayari anajulikana kama mwigizaji, amejipanga vizuri na ana malengo makubwa ya kupiga hatua kwa kuziunganisha fani hizo mbili.

Kupitia mahojiano aliyofanya na Eatv.tv, Niva amesema kuwa katika siku za mbeleni kupitia sanaa yake ana mpango wa kufanya mashabiki wake kujipatia nakala ya filamu kila wakiingia katika onesho lake la muziki.

Vile vile staa huyo akaweka wazi uwekezaji mkubwa alioufanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani