NIVA AUANIKA ‘UBAVU’WAKE
![](http://api.ning.com:80/files/rhqcRsJl7aSNG33WasdpmmE7Pvebgryqib1cvOUHOwg66CH9pCq73z9hZDskLwVddvLNv8hR9gi4UYvs4S42llXpFJZKLtz3/B.jpg?width=650)
Imelda mtema STAA wa Bongo Movies, Zubery Mohamed ‘Niva’ amemuanika mpenzi wake wa sasa aliyemtambulisha kwa jina la Maisala na kuweka bayana kwamba hahitaji tena mwanamke mwingine. Staa wa Bongo Movies, Zubery Mohamed ‘Niva akiwa na mpenzi wake. Akizungumza na mwanahabari wetu, Niva alisema alifanya tathimini ya kina na kuamua kutulia na mwanamke huyo kukwepa habari zile za kurukaruka leo huyu kesho...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM04 Feb
JUX AUANIKA MJENGO WAKE
Baadhi ya mashabiki wake wamempongeza kwa hatua hiyo kwani wapo wasanii wengi wakubwa lakini hawana maendeleo kama yake.
9 years ago
Bongo Movies16 Aug
Kuambiana Amliza Niva
Zuberi Mohamed ‘Niva’ amesema filamu ya ‘Kipaji Changu’ aliyoigiza na marehemu Adam Kuambiana (Pichani),humtoa machozi kila anapoitazama.
“Kipaji Changu” imetoka wiki iliyopita lakini filamu hiyo ilichezwa muda mfdupi kabla ya kufariki kwa Kuambiana Mei Mwaka jana.
Akizungumza swala hilo, Niva alisema “Filamu hii imenipa mawazo ambayo nahisi kama bado kuambiana yupo.”
Chanzo: Nipashe
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj3HbShd4a7MZM*2bqVplXHc1v1uBW4x6I7HZta88MNrMlFbnNEgDNpW15bQD7qenAb-obo2JRRFbtAvxII02b7q/mtitu.jpg?width=650)
MTITU, NIVA WAZICHAPA
10 years ago
Bongo Movies07 Mar
Mimi Siyo Marioo — Niva
Mwigizaji wa filamu Zubery Mohamed ‘Niva’ amekanusha kuwa yeye siyo Marioo yaani analelewa na wanawake bali ni jina tu ambalo limetokana na wimbo wake alioufanya na kurekodi.
“Napata shida sana watu wananiona eti mimi Marioo jina hili nimepewa na mpenzi wangu ambaye simtaji kwa jina lake mimi ni mwanaume ninayejua majukumu yangu wala simtegemei mwanamke yoyote zaidi ya wao kujipendekeza kwangu,”anasema Niva.
Niva anasema kuwa wapo wasanii wanyonge wenye tabia hizo lakini si kwake kwani...
10 years ago
Bongo Movies13 Jun
Niva Anakesha, Ila Hana Demu
MSANII nyota kwenye tasnia ya filamu nchini, Mohamed Zuberi ‘Niva’ amesema licha ya kupenda kukesha katika klabu za usiku, lakini ‘anashukuru’ hajawahi kuchunwa na wanawake.
Niva ambaye amekuwa akiwakosha mashabiki wa filamu kwa filamu zake, alisema kikubwa zaidi anachokutana nacho ni kushuhudia mateso makubwa waliyonayo wanaume wenye kupenda kuhonga. “Kwa kweli huwa nashangaa jamaa wanaotumia mkwanja kuonga kwa ajili ya mapenzi, inashangaza mno na wanashindwa kufikia malengo yao ya...
10 years ago
Bongo Movies04 Mar
Ukiona Demu Kulia Sijapiga- Niva
Mwigizaji anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu Zuber Mohamed ‘Niva’ ametoa ya mwaka baada ya kusema kuwa upigaji wa picha na wanawake una maana kubwa kwake tofauti na mastaa wengine ambao hawana fomula ujipigia picha tu.
“Kaka ukiona nipiga picha na Demu halafu yupo kulia ujue huyu siyo mwenzangu na sijapiga ni just Friend tu, hila mpenzi wangu lazima nikipiga picha nitamweka mkono wangu wa kushoto na si kulia, elimuhiyo,”anasema Niva.
Niva anaonekana katika picha mbalimbali akiwa...
10 years ago
Bongo Movies30 May
Mwigizaji Niva na Ndoto Kubwa Kutoka Katika Muziki
Staa wa filamu Niva ameweka wazi kuwa licha ya kuwepo kwa changamoto kadhaa kufanya muziki akiwa tayari anajulikana kama mwigizaji, amejipanga vizuri na ana malengo makubwa ya kupiga hatua kwa kuziunganisha fani hizo mbili.
Kupitia mahojiano aliyofanya na Eatv.tv, Niva amesema kuwa katika siku za mbeleni kupitia sanaa yake ana mpango wa kufanya mashabiki wake kujipatia nakala ya filamu kila wakiingia katika onesho lake la muziki.
Vile vile staa huyo akaweka wazi uwekezaji mkubwa alioufanya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-5pySBOR0S0lnWdIgA0ybKLLubdz9LklRY4bkSEMz74sQNs91kVLRVRwzzPYaWi4fi2sUVB23SXwphOvTxuGI87/mastaa.jpg?width=650)
MASTAA NA UBAVU WAO
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Etoile na Yanga kupimana ubavu