Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA NA UBAVU WAO

MAKALA: Gladness Mallya
MWANAMUZIKI Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ aliwahi kusema ndoa si lazima lakini inaongeza heshima katika jamii. Kwa upande wa kiroho, kuoa au kuolewa ni agizo lililotolewa na Mwenyezi Mungu katika maandiko matakatifu. H.Baba na mkewe Flora. Leo katika makala haya tunakuletea mastaa wa muziki na filamu Bongo wakiwa na ubavu wao, japokuwa ni wasanii lakini pia wana maisha ya ndoa. Wapo mastaa wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MASTAA WALONGA NA MASHABIKI WAO DAR LIVE

Mastaa wa filamu Bongo, Dk. Cheni (kushoto), Wastara Juma (katikati) na Mzee Chilo (kulia) wakitoa burudani juu ya steji ya Dar Live. Mwigizaji Wastara Juma akiongea na mashabiki wake wa Dar Live.…

 

10 years ago

GPL

BILA WAPENZI WAO, WASINGEKUWA MASTAA BONGO!

Na Hamida Hassan Ukijaribu kufuatilia utabaini kuwa, wengi ambao sasa ni maarufu, wamefanya mambo makubwa! Walikuwa hawajulikana huko nyuma lakini walipoingia kwenye muziki, filamu na fani nyinginezo kisha wakafanya vizuri, walijikuta kwenye orodha ya mastaa. Kwa hapa Bongo, wapo watu ambao wana majina lakini yawezekana wasingeingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na wale ambao tayari ni mastaa, wasingekuwa na umaarufu walionao leo....

 

10 years ago

GPL

ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME

Na Mayasa Mariwata
MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewalaumu vikali mastaa wa kiume Bongo kuwa ndiyo chanzo kikubwa cha tasnia kutawaliwa na mastaa wa kike wanaojiuza. Mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ Akizungumzia kuhusiana na kuwepo kwa madai ya wasanii wa kike Bongo Movie kujiuza, Cathy alisema hawezi kuweka wazi kama anawajua wahusika au...

 

10 years ago

BBCSwahili

Etoile na Yanga kupimana ubavu

Klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia inategemewa kuwasili Dar es Salaam wiki hii kwa ajili ya mechi dhidi ya Yanga.

 

10 years ago

Habarileo

Twiga kupimana ubavu na Kenya

TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars), inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na wenzao wa Kenya (Harambee Starlets) Agosti 23, 2015.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM haina ubavu wa kuua upinzani

KILA nikisikiliza hotuba anazozitoa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, katika mikutano yake anayoifanya mikoani, ninapata shaka na mwelekeo wa chama chao. Inawezekana amedhamiria kukifufua chama kilichoanza...

 

10 years ago

Vijimambo

ASKARI ACHOMWA MKUKI WA UBAVU MARA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Ernest ManguBaadhi ya picha za matukio ambayo jeshi la polisi hupamba nayo.
Na Samson Chacha - MaraAskari polisi Deogratius wa Kituo cha Polisi, Kinesi Wilayani Rorya mkoani Mara, amechomwa mkuki na wananchi waliovamia mgodi wa dhahabu wa ACACIA North Mara kwa lengo la kupora mawe.

Kamanda wa Polisi wa Tarime Rorya, ACP Lazaro Mambo, alisema jana kuwa, askari huyo alijeruhiwa na kundi la watu zaidi ya 2,000 lililovamia kwenye mgodi huo Jumanne ya wiki hii....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani