ASKARI ACHOMWA MKUKI WA UBAVU MARA
![](http://4.bp.blogspot.com/-DwiBss_Bb-s/VJ6bfgpCBnI/AAAAAAAAFyE/IL1uMMTZ-So/s72-c/Ernest%2Bmangu%2BIGP(1).jpg)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Ernest Mangu
Baadhi ya picha za matukio ambayo jeshi la polisi hupamba nayo.
Na Samson Chacha - MaraAskari polisi Deogratius wa Kituo cha Polisi, Kinesi Wilayani Rorya mkoani Mara, amechomwa mkuki na wananchi waliovamia mgodi wa dhahabu wa ACACIA North Mara kwa lengo la kupora mawe.
Kamanda wa Polisi wa Tarime Rorya, ACP Lazaro Mambo, alisema jana kuwa, askari huyo alijeruhiwa na kundi la watu zaidi ya 2,000 lililovamia kwenye mgodi huo Jumanne ya wiki hii....
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo27 Dec
Polisi achomwa mkuki ubavuni
POLISI wa kituo cha Kinesi wilayani Rorya mkoani Mara, Konstebo Deogratius amejeruhiwa kwa kuchomwa mkuki ubavuni.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-v4Pm5L_ygMw/XusS7kvLu1I/AAAAAAABMdI/KtOQELa4y5YHk5umyQOOmpDHlWlK3Lf3ACLcBGAsYHQ/s72-c/vichura.jpeg)
JPM APIGA SIMU, AAMURU ASKARI WA SUMA JKT WANAOPIGISHA VICHURACHURA WANANCHI STENDI MPYA YA DODOMA WAONDOLEWE MARA MOJA
![](https://1.bp.blogspot.com/-v4Pm5L_ygMw/XusS7kvLu1I/AAAAAAABMdI/KtOQELa4y5YHk5umyQOOmpDHlWlK3Lf3ACLcBGAsYHQ/s400/vichura.jpeg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-prFe0IwzjMs/VfhpmsGhVNI/AAAAAAAH5EA/CxQHt6U7i4I/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-prFe0IwzjMs/VfhpmsGhVNI/AAAAAAAH5EA/CxQHt6U7i4I/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-tsiZAHkOin0/VfhpxGyMqRI/AAAAAAAH5Eg/rSdPFad4r4M/s640/2.jpg)
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Mkuki moyoni mwangu – 11
Hali ya Catarina bado ni mbaya na amelazwa katika hospitali ya Saratani ya Ocean Road, Jopo la madaktari wakishirikiana na Dk. Ngamila wamefanya matibabu ya awali ya dawa ya mionzi kuona kama angeweza kupata nafuu lakini haikuwa hivyo, Dk. Ngamila analazimika kuwaita wazazi wake na kuwaeleza majibu ya mtoto wao akiwaeleza kwamba pamoja na matibabu ya awali bado vimelea vya Saratani vilikuwepo kwenye damu.
Ushauri pekee anaowaeleza ni kumpandikizia Catarina Uboho kutoka kwa mtu mwingine hivyo...
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Mkuki moyoni mwangu 18
Catarina amelazwa hospitali ya Ocean Road akisumbuliwa na saratani ya damu, ugonjwa ulioibuka ghafla wakati akifuatilia afya ya Kevin, kijana waliyependana lakini hawakuwahi kuelezana ukweli wa mioyo yao.
Kevin hivi sasa anaendelea vizuri na ametoka hospitali na kurejea nyumbani, wazazi wake wamemkatalia kabisa kumuona Catarina ingawa alitaka jambo hili litokee. Matibabu ya mionzi yameanza kwa Catarina na wazazi wake wameelezwa kwamba yanaweza kuwa na madhara lakini inabidi wakubaliane kwani...
10 years ago
TheCitizen28 Mar
SINGLE IN THE CITY: My warrior with shining ‘mkuki’
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-5pySBOR0S0lnWdIgA0ybKLLubdz9LklRY4bkSEMz74sQNs91kVLRVRwzzPYaWi4fi2sUVB23SXwphOvTxuGI87/mastaa.jpg?width=650)
MASTAA NA UBAVU WAO
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Saidi Idd: Nimechomwa mkuki na mama yangu mzazi
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Etoile na Yanga kupimana ubavu