Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUX AUANIKA MJENGO WAKE

Staa wa Bongo Fleva,Juma Jux ameuanika mtandaoni mjengo wake alioujenga ambao unakaribia kukamilika kwa sehemu kubwa.
Baadhi ya mashabiki wake wamempongeza kwa hatua hiyo kwani wapo wasanii wengi wakubwa lakini hawana maendeleo kama yake.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Ujenzi wa mjengo wa Jux wakwama

Maponda

Mkali wa ‘One More Night’ Jux ameeleza sababu ya kukwama kuendelea kwa ujenzi wa mjengo wake wa kifahari ambao miezi kadhaa aliuonesha kwenye mitandao ya kijamii.

12331683_1007956949264144_2112653779_n

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa kwa sasa amesimama kidogo kuendeleza mjengo wake na kuwekeza pesa katika kufanya muziki ikiwa ni pamoja na kuendelea kufanya video zenye ubora.

Maponda

“Unajua kwa sasa kidogo nimesimama kuendeleza nyumba hivyo, ipo siku watu watakuja kuona mjengo ukiwa...

 

10 years ago

GPL

NIVA AUANIKA ‘UBAVU’WAKE

Imelda mtema
STAA wa Bongo Movies, Zubery Mohamed ‘Niva’ amemuanika mpenzi wake wa sasa aliyemtambulisha kwa jina la Maisala na kuweka bayana kwamba hahitaji tena mwanamke mwingine. Staa wa Bongo Movies, Zubery Mohamed ‘Niva akiwa na mpenzi wake. Akizungumza na mwanahabari wetu, Niva alisema alifanya tathimini ya kina na kuamua kutulia na mwanamke huyo kukwepa habari zile za kurukaruka leo huyu kesho...

 

10 years ago

GPL

DAVIDO ATUPIA MTANDAONI MJENGO WAKE MPYA WA ATLANTA

Davido. STAA wa muziki kutoka nchini Nigeria, Davido ametupia mtandaoni picha ya mjengo wake mpya uliopo huko Atlanta nchini Marekani. Davido ambaye anajiandaa kuachia albamu yake ya pili, alitupia picha hizo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram jana. Staa huyo bado yupo nchini Marekani na kupitia picha hizo aliandika kuwa mtoto wake wa kike atakuwa na chumba chake kikubwa ndani ya… ...

 

10 years ago

CloudsFM

Mambo yaanza kumnyookea Ray C,kuanza ujenzi wa mjengo wake mpya

Mambo yameanza kumnyookea msanii mkongwe wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila’Ray C’ baada kuonyesha picha ya kiwanja chake kipya kwenye mtandao huku akisema kuwa ataanza ujenzi muda si mrefu.

Msanii huyo aliandika kuwa madawa ya kulevya yalimpa hasara kubwa ikiwemo kuuza nyumba yake ya zamani ambayo ilikuwa imeisha kabisa lakini sasa anamshukuru Mungu anatimiza ndoto yake ya kuanza ujenzi wa nyumba nyingine mpya.
Aliandika hivi kwenye Instagram….Madawa yalinipotezea nyumba yangu ona sasa naanza...

 

9 years ago

Bongo5

Ni kweli zimeisha? 50 Cent anauuza mjengo wake kwa dola milioni 8.5!

Rapper 50 Cent amepunguza bei ya kuuzia mjengo wake wa kifahari uliopo Connecticut. Nyumba yake yenye ukubwa wa 50,000-square-foot iliyopo mjini Farmington, wenye vyumba 21 na bafu 25 sasa anauuza kwa dola milioni 8.5. Awali nyumba hiyo alikuwa anaiuza kwa dola milioni 18.5 mwaka 2007 lakini bei hiyo iliendelea kushuka. Wanasheria wanaomwakilisha amesema atajaribu kuiuza […]

 

9 years ago

MillardAyo

Dakika 1 na sekunde 58 za video ya Cristiano Ronaldo akionesha mjengo wake na sehemu anayoipenda …

Wachezaji soka wa Ulaya ni watu ambao wasiri sana katika maisha yao, kutokana na umaarufu wao mara nyingi wamekuwa wakifuatiliwa kwa kila kitu wanachokifanya, Cristiano Ronaldo staa wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid ya Hispania, December 22 kuekea sikuku ya Chrismass ameonesha mjengo wake kuanzia nje hadi ndani. Kama ulikuwa […]

The post Dakika 1 na sekunde 58 za video ya Cristiano Ronaldo akionesha mjengo wake na sehemu anayoipenda … appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

Idris Sultan atoa jibu kuhusu mjengo wake mpya kama amenunua au amepewa

Swali lililokuwepo kuhusu mjengo wa kifahari ambao mshindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan ni kama amenunua au amepewa, na tayari mshindi huyo wa $300,000 za Biggy ametoa jibu. Idris amesema mjengo huo ni wa kwake, na ni zawadi kutoka kwa aliyekuwa boss wake: “Sasa hivi nina status flani kwahiyo natakiwa kujiweka vizuri kwasababu ni kioo […]

 

10 years ago

Vijimambo

Young Ray Ft Jux - Uzuri Wake


Young Ray Ft Jux - Uzuri WakeProduced By KelvinBeautiful Music From Tanzanian Artistes

Afro Hip hop

[Young Ray Ft Jux - Uzuri Wake]Intro:[Jux Vuitton]Eeeeeeeeeeh eyiiiiiiiiiihUuuh uuuuuuuuh uuuh uuuh uuuuuuh,Eyii yeyiii yeyiii yeyiii, Eyii yeyiii yeyiii yeaah I love uuuuuuuh (Snap Records Prouduction)
Verse:1 [Young Ray]Aaah..!!!! First time me namuonah,Sio siri nilipagawaShe is so pretty,Mayne! She is on fire.Nikamind talk nae,Kwangu demu kashagwaya.Nikamuweka side,Nikaanza tema dawa.Akanipa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani