ukishangaa ya mussa....
Awali mabunda haya yalivyokutwa katika jumba la Zungu la Unga lililovamiwa na vikosi maalumu huko Mexico yalikadiriwa kuwa ni dola bilioni 18 za Kimarekani. Baada ya kuhesabiwa ikakutwa ni zaidi ya dola bilioni 22. Hii inadhihirisha jinsi biashara ya 'Sembe' ilivyo na changamoto kubwa kwani kwa kiasi hicho mwenyewe anaweza kununua chochote ama mtu yeyote na kufanya atakalo. Lakini pamoja na hayo vikosi vya kupiga vita biashara hii haramu vinaendelea na jitihada zao kupambana nao usiku na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi14 Sep
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-z02UqvKGAN8/XkvoKo3A6_I/AAAAAAALd7g/fU55SWm9AuEN8ISIsYzA5R3hin_ALyeFACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Kamishna Dkt Mussa Ali Mussa afungua kikao cha kujadili uhalifu unaovuka mipaka
![](https://1.bp.blogspot.com/-z02UqvKGAN8/XkvoKo3A6_I/AAAAAAALd7g/fU55SWm9AuEN8ISIsYzA5R3hin_ALyeFACLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Ukishangaa ya Musa utayaona ya CCM
JANUARI 16 mwaka huu, Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, alitangaza mabadiliko aliyofanya katika Baraza la Mawaziri. Hii ni mara ya tano tangu aingie madarakani. Mara...
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Ukishangaa ya BMK, utayaona ya Bunge la Jamhuri
USEMI wa ‘ukishangaa ya Musa, basi hujayaona ya Filauni’, umezoeleka sana, ndani yake unamaanisha yapo yaliyofanywa na Musa lakini pia yapo ya kuajabisha na kushangaza yaliyofanywa na Farao (Filauni). Katika...
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Ukishangaa ya Wachina na mihadarati, utayaona ya Watanzania na ujangili!
BIASHARA ya madawa ya kulevya pamoja na ujangili ni miongoni mwa shughuli haramu Tanzania na hakika nchi rafiki na zisizo rafiki hulifahamu hilo bayana, japo wapo wazito jasiri wachache wameweka...
10 years ago
Mwananchi15 Jul
Mussa Imba Kilima Hewa, Mkuranga,
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA MAREHEMU ZAINAB MUSSA CHAFANYIKA DMV
Ustaadh Mudy Mabenzi akiongoza kisomo cha mama yake Yasin Randi Marehemu Zanab Mussa kilichofanyika siku ya Jumampili Desemba 14, 2014 nyumbani kwao Hyattsville, Maryland nchini Marekani.
Ustaadh Ally Mussa aisaidiana na mauutadh wenzake katika kisomo na mpendwa mama yake Yasin Randi marehemu Zainab Mussa kilichofanyika siku ya Jumapili Desemba 14, 2014. Kushoto ni Abdul Sebo akifuatilia kisomo.
11 years ago
Dewji Blog13 Jul
Msanii Mwajuma Jimama afunga ndoa na Melela Mussa
Msanii wa Filamu na unenguaji Mwajuma Thabiti ‘Mwajuma Jimama’ akiwa katika pozi na mume wake Melela Mussa baada ya kufunga ndoa hivi karibuni Ilala Bungoni na kufuatia na sherehe kubwa bwana harusi ni mfanya biashara na Biharusi ni msanii wa kujitegemea.