Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msanii Mwajuma Jimama afunga ndoa na Melela Mussa

1926661_717240758322070_5857980012469033852_n

Msanii wa Filamu na unenguaji Mwajuma Thabiti ‘Mwajuma Jimama’ akiwa katika pozi na mume wake Melela Mussa baada ya kufunga ndoa hivi karibuni Ilala Bungoni na kufuatia na sherehe kubwa bwana harusi ni mfanya biashara na Biharusi ni msanii wa kujitegemea.

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Msanii wa filamu na unenguaji Mwajuma Thabiti 'Mwajuma Jimama' ameremeta

 Msanii wa filamu na unenguaji Mwajuma Thabiti 'Mwajuma Jimama' akiwa katika pozi na mume wake Melela Mussa baada ya kufunga ndoa hivi karibuni Ilala Bungoni na kufuatia na mnuso babu  kubwa. Bwana harusi ni mfanya bihashara na Bi Harusi ni msanii wa kujitegemea

 

11 years ago

CloudsFM

AMINI AFUNGA NDOA NA MSANII MWENZAKE (WA KUNDI LA KANTANGAZE)

Msanii wa bongo flava kutoka Tanzania House of Talent(THT), Amini Mwinyimkuu jana alifunga ndoa na msanii mwenzake wa Bongo Flava, Farida aliyeimba wimbo wa Kantangaze, ilikua ni mida ya saa mbili usiku katika msikiti mmoja uliopo maeneo ya Magomeni Kagera.Amini alikuwa anaonekana kidogo kama anaumwa, gesi ilikua imejaa tumboni Sikiliza hapa Amini akila kiapo cha ndoa mbele ya baba yake Farida na zoezi zima likisimamiwa na Ustaadh Rashid Said.

 

10 years ago

GPL

MAMA MZAZI WA BEYONCE, TINA AFUNGA NDOA YA PILI NA MSANII RICHARD LAWSON

Mama Beyonce, Tina akiwa na mumewe Richard Lawson siku ya ndoa yao juzi Jumapili. Tina akiwa na mwanaye Beyonce mwaka 2013. Kifamilia zaidi: Familia hii imekuwa na baraka baada ya mwaka jana Solange (wa kwanza kulia) kufunga ndoa na Alan Ferguson. Pichani ni Beyonce, Jay Z na Tina. MAMA…

 

5 years ago

Michuzi

Kamishna Dkt Mussa Ali Mussa afungua kikao cha kujadili uhalifu unaovuka mipaka

 Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii Dkt, CP Mussa Ali Mussa (katikati) akiingia katika ukumbi wa Hotel ya Landmark Kunduchi Jijini Da es Salaam alipokwenda kufungua mkutano wa kujadili na kupanga mikakati ya kuzuia makosa yanayovuka mipaka. Mkutano huo umeshirikisha nchi wanachama 16 kutoka shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika ( EAPCCO). Kulia ni Mkuu wa ofisi za Interpol Mashariki mwa Afrika, Gedion Kimilu. Kushoto ni Mratibu wa Mafunzo wa Chuo cha Masomo ya...

 

11 years ago

GPL

NASSARI AFUNGA NDOA

Joshua Samwel Nassari (kulia) akiwa na mke wake Anande Nko. Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari amefunga ndoa na Anande Nko kwenye Kanisa la Pentekoste lililopo Kilinga, Arumeru ikifuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika Viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hoteli ya Ngurdoto. Sherehe hiyo ilianza mishale ya saa 7:00 mchana ambapo watu wote walialikwa wakiwemo ndugu, marafiki, jamaa na wananchi wote...

 

11 years ago

GPL

P FUNK AFUNGA NDOA YA SIRI

Stori: Gladness Mallya
BAADA ya kuishi maisha ya kisela kwa muda mrefu, hatimaye mtayarishaji nguli wa muziki Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk’ ameoa kwa siri. Mtayarishaji nguli wa muziki Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk’ wakati wa harusi yake. Taarifa kutoka kwa chanzo makini kilichoshuhudia tukio hilo, lilichukua nafasi jijini Arusha mwishoni mwa wiki iliyopita kwa usiri mkubwa. Imeelezwa kuwa, P Funk...

 

10 years ago

GPL

BI HARUSI AFUNGA NDOA, ATOROKA

SHANI RAMADHANI AIBU ya mwaka! Mwanadada aliyefahamika kwa jina la Tatu Ally  (26), mkazi wa Kongowe, Mbagala, Dar amejikuta akiifedhehesha familia yake kufuatia kutoroka kwa mumewe siku moja tu baada ta kufunga ndoa, Amani lina picha kamili. Mwanadada Tatu Ally anayedaiwa kutoroka baada ya kufunga ndoa. Kwa mujibu wa chanzo, ndoa hiyo ilifungwa Aprili 4, mwaka huu Mbagala jijini Dar kisha bi harusi huyo kwenda kwa mumewe...

 

11 years ago

GPL

MTALAKA WA KIRIA AFUNGA NDOA

Na Hamida Hassan
MTALAKA wa mtangazaji Joyce Kiria, Nelson Nkongo ‘DJ Nelly’ amefunga ndoa na mwanamke mwingine aliyefahamika kwa jina la Elinda ‘Aika’. Joyce Kiria. Mapema wiki hii, picha za wanandoa hao zilizagaa kwenye simu za mastaa mbalimbali huku wengi wao wakimpongeza Nelly kwa kuchukua uamuzi huo wa kuvuta jiko lingine baada ya kumwagana na Joyce mwaka 2011. “Tunampongeza Nelly kwa kuwa...

 

11 years ago

GPL

MWAIKIMBA AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA

Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba akiwa na mke wake Rukia (Mary) Ally Seif. Na Khadija Mngwai MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba, ameamua kuachana na ukapera baada ya hivi karibuni kufunga pingu za maisha na mzazi mwenziye, anayejulikana kwa jina la mama Genevieve. Gaudence Mwaikimba akiwa na mke wake Rukia (Mary) Ally Seif baada ya kufunga… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani