MAMA MZAZI WA BEYONCE, TINA AFUNGA NDOA YA PILI NA MSANII RICHARD LAWSON
![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1YvHkRKmHVpRcgr4wi0jUTTbS9M9ev52pTk7nZk3ELlGxG3OLYNX4kGQcWUfs-tmuuWuQQlzlgrlxNuyYFHUQPy/TINANARICHARD.jpg?width=650)
Mama Beyonce, Tina akiwa na mumewe Richard Lawson siku ya ndoa yao juzi Jumapili. Tina akiwa na mwanaye Beyonce mwaka 2013. Kifamilia zaidi: Familia hii imekuwa na baraka baada ya mwaka jana Solange (wa kwanza kulia) kufunga ndoa na Alan Ferguson. Pichani ni Beyonce, Jay Z na Tina. MAMA…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog13 Jul
Msanii Mwajuma Jimama afunga ndoa na Melela Mussa
Msanii wa Filamu na unenguaji Mwajuma Thabiti ‘Mwajuma Jimama’ akiwa katika pozi na mume wake Melela Mussa baada ya kufunga ndoa hivi karibuni Ilala Bungoni na kufuatia na sherehe kubwa bwana harusi ni mfanya biashara na Biharusi ni msanii wa kujitegemea.
11 years ago
CloudsFM23 Jun
AMINI AFUNGA NDOA NA MSANII MWENZAKE (WA KUNDI LA KANTANGAZE)
Msanii wa bongo flava kutoka Tanzania House of Talent(THT), Amini Mwinyimkuu jana alifunga ndoa na msanii mwenzake wa Bongo Flava, Farida aliyeimba wimbo wa Kantangaze, ilikua ni mida ya saa mbili usiku katika msikiti mmoja uliopo maeneo ya Magomeni Kagera.
Amini alikuwa anaonekana kidogo kama anaumwa, gesi ilikua imejaa tumboni Sikiliza hapa Amini akila kiapo cha ndoa mbele ya baba yake Farida na zoezi zima likisimamiwa na Ustaadh Rashid Said.
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-zVEN_p2AWLA/U1_VKgvdZ0I/AAAAAAAA5fs/OyZbf-mfAb8/s1600/Mama+Angela.jpg)
MAMA MZAZI WA ANGELLA MSANGI, MAMA MISHELI SINGOYE KUZIKWA LEO APRILI 30, 2014 ZINGA, BAGAMOYO PWANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*pNsFM6VE6DEaqKvec6vgoDUPMQwwDxXvvyYlzdoogV6U4Z0XoG6e3CplKbIs1aDfMe5RjNngvDLifV8-XN*1Cf/2.jpg?width=650)
BEYONCE, JAY Z WAIKACHA NDOA YA KANYE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2VGrzzXedu0f7KmU*C6YeVk2Xo7UMqrue-vULIc73FNbLWvASdlGeG9hxRCFZjnVVeb4RByz-70UQ3SxgHP3b92idfUzQOXF/SingleMtambalike535.jpg?width=650)
TANZIA‬: MSANII RICHIE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi1wp8RDvDZg-3B5d8cu*v5KgvEw8JExj50NuRGX3VyRnBvT*AyF7TRAVTqO7XV6QxB3mBn85sN0jgqr-mbqBgit/Nasari2.jpg?width=534)
NASSARI AFUNGA NDOA
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Mzazi mwenza achokonoa ndoa ya Jack Chuz
Na Gladness Mallya
KERO! Baada ya kurudiana na mumewe Gardner Dibibi, msanii wa filamu za Kibongo, Jacqueline Pentzel maarufu kama Jack Chuz, mzazi mwenza wa mume wake anadaiwa kuichokonoa ndoa yao hivyo kumpa kero.
Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba, Jack Chuz na mumewe wamekuwa wakitibuana chanzo kikiwa ni mwanamke aliyezaa na mwanaume huyo aliyejulikana kwa jina moja la Mariamu, kwani amekuwa akiwafuatilia kila wanachokifanya huku akiendelea kumsumbua Dibibi akitaka...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-bLqpADszFyY/VDgG00IQ9LI/AAAAAAAGo_0/n459mRjSYeo/s72-c/single_mtambalike.jpg)
MSANII WA FILAMU NCHINI,SINGLE MTAMBALIKE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-bLqpADszFyY/VDgG00IQ9LI/AAAAAAAGo_0/n459mRjSYeo/s1600/single_mtambalike.jpg)
MSANII wa maigizo na filamu nchini,Single Mtambalike maarufu kwa jina la Richie, amefiwa na baba yake mzazi Mzee Mtambalike usiku wa kuamkia leo, Msiba upo nyumbani kwao Tabata,jijini Dar es salaam.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WRH9ovbTZmBjiN6lZQ2DO3-STCmCaNVfb1dWveORsO4CwzpaG86JwYV4XMTbx59yvXgPQmR9aubfZEWtn2wpp9okOb-a7q7Z/IMG20140531WA0036.jpg?width=650)
MWAIKIMBA AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA