Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKIWA HIVI, MAPENZI KWAKO YATA‘RANI’ DUNIA-2

NIJumanne tena, bado naamini wapenzi wasomaji wangu wa safu hii mpo salama kabisa kimawazo na kivingine pia! Mada ya leo inatoka wiki iliyopita; ukiwa hivi, mapenzi kwako yata ‘rani’ dunia! Wiki iliyopita nilizungumza mambo mengi kuhusu mada hii. Nilichambua kuhusu vifo vinavyotokana na mapenzi, ugomvi baina ya wanandugu kisa kikiwa mapenzi na kadhalika. MSEMO WA MAPENZI KU ‘RANI’ DUNIA
Leo sasa, nataka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UKIWA HIVI, MAPENZI KWAKO YATA ‘RANI’ DUNIA

NI Jumanne tena, naamini wapenzi wasomaji wa safu hii mpo sawasawa kabisa kimawazo na kivingine! Mada ya leo ndiyo hiyo; ukiwa hivi, mapenzi kwako yata ‘rani’ dunia! Kwanza ni hakika pasipo na shaka kwamba, sehemu kubwa ya vifo duniani vinatokana na mapenzi kwa namna moja au nyingine. Uhusiano katika jamii kuvurugika kisa ni mapenzi. Wanandugu kugombana, mapenzi yanachangia. Mambo mbalimbali yayowapata wanadamu,...

 

10 years ago

GPL

UKIWA HIVI, MAPENZI KWAKO YATA‘RANI’ DUNIA-3

JAMANI! Naamini kabisa kuwa, wapendwa wasomaji wangu wote mpo salama Jumanne ya leo. Najua kila mmoja wenu tayari ana gazeti mkononi akiendelea kuelimika kupitia mada hii ya; ukiwa hivi, mapenzi kwako yata ‘rani’ dunia.
Wiki iliyopita tuliishia pale mtaalam, mmoja aliposema kuwa, kuna watu wameumbwa na moyo wa baridi. Watu hao ni wale ambao hata kama watatumiwa meseji mbaya, wanaweza kusoma, wakimaliza wanafuta na...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa safu hii. Ni matumaini yangu umzima kabisa na uko tayari kusoma muendelezo wa makala haya ambayo niliianza wiki iliyopita. Maudhui hasa ya makala haya ni kuwatahadharisha baadhi ya watu ambao wanahusudu mapenzi kuliko kitu kingine utadhani wana pepo la ngono. Sikatai, kufanya mapenzi ni kitu muhimu sana hasa kwa watu walioingia kwenye ndoa. Kwa kifupi ni haki ya kila mmoja kuridhishwa na mwenza wake...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?

Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita utakumbuka nilizungumzia suala la kuwajali wapenzi wetu. Niligusia suala ya kuwapa nafasi watuchune. apo walioshituka kuona kichwa kile cha habari lakini kiukweli sikumaanisha kuchuna kule ambako wanawake micharuko hufanya hasa kwa waume za watu, nilimaanisha utayari wa kila mmoja kumsaidia mwenzake kifedha. Mkeo akitaka pesa ili aende saluni kama zipo, mpe! Akihitaji pesa akanunulie vipodozi...

 

10 years ago

GPL

HIVI MAPENZI NI VITA?

WIKI iliyopita tulijadiliana kuhusu wapenzi wenye tabia ya kuwaacha wenzi wao na baadaye kulazimisha kuwarudia kwa nguvu na vitisho baada ya kugundua ndiyo wapenzi sahihi wa maisha yao. Leo tunazungumzia mada inayosema, je, mapenzi ni vita? Ungana nami kujua mengi zaidi kupitia XXLove. Nianze kwa kuwashukuru wasomaji wangu kwa kunitumia ujumbe mfupi wa ‘SMS’ na kunipigia simu, asanteni. Kwenye mada ya leo ni dhahiri...

 

10 years ago

Vijimambo

HIVI MAPENZI NI VITA?


WIKI iliyopita tulijadiliana kuhusu wapenzi wenye tabia ya kuwaacha wenzi wao na baadaye kulazimisha kuwarudia kwa nguvu na vitisho baada ya kugundua ndiyo wapenzi sahihi wa maisha yao.

Leo tunazungumzia mada inayosema, je, mapenzi ni vita? Ungana nami kujua mengi zaidi kupitia XXLove.

Nianze kwa kuwashukuru wasomaji wangu kwa kunitumia ujumbe mfupi wa ‘SMS’ na kunipigia simu, asanteni.

Kwenye mada ya leo ni dhahiri kuwa majibu ya haraka ya walio wengi ni lazima yatakuwa ndiyo au hapana na...

 

9 years ago

GPL

HIVI MAPENZI YAMEKUFANYIA NINI?

Mpenzi msomaji wa safu hii ya XXLove, shukrani nyingi zikufikie kwa maoni na ushauri wako. Baada ya wiki iliyopita kukupa mbinu za kupigania penzi lako kwa maana ya kulia au kulisusa siyo dawa, wiki hii napenda nijue wewe msomaji wa makala haya, mapenzi yamekufanyia nini? Ninaamini kila mtu atakuwa na jibu kulingana na vile mapenzi yalivyomfanyia katika maisha yake ya uhusiano.Kwa kuanza tu, wapo watu waliofika ughaibuni kwa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko hivi..

jb“Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko hivi….A anampenda B na wako wote…lakini B moyo wake uko kwa c…ni mara chache sana kupata couple zenye usawa katika kupenda…unapompenda mtu hasa ss wanaume huwa tuna tumia kila njia kuhakikisha tunammiliki..tunajaribu kuwa waugwana…wakali na wakorofi..hata na pesa kuhakikisha tuna wamiliki wapenzi wetu..lakini mapenzi sio kumiliki bali kumfanya umpendae awe na furaha…piakina dada wanapo achana na wapenzi wao huwa wanasumbuliwa na maswali ambayo sio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani