UKIWA HIVI, MAPENZI KWAKO YATA‘RANI’ DUNIA-3
JAMANI! Naamini kabisa kuwa, wapendwa wasomaji wangu wote mpo salama Jumanne ya leo. Najua kila mmoja wenu tayari ana gazeti mkononi akiendelea kuelimika kupitia mada hii ya; ukiwa hivi, mapenzi kwako yata ‘rani’ dunia. Wiki iliyopita tuliishia pale mtaalam, mmoja aliposema kuwa, kuna watu wameumbwa na moyo wa baridi. Watu hao ni wale ambao hata kama watatumiwa meseji mbaya, wanaweza kusoma, wakimaliza wanafuta na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLUKIWA HIVI, MAPENZI KWAKO YATA ‘RANI’ DUNIA
10 years ago
GPLUKIWA HIVI, MAPENZI KWAKO YATA‘RANI’ DUNIA-2
11 years ago
GPLKILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2
11 years ago
GPLKILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?
10 years ago
GPLHIVI MAPENZI NI VITA?
10 years ago
Vijimambo15 Jun
HIVI MAPENZI NI VITA?
WIKI iliyopita tulijadiliana kuhusu wapenzi wenye tabia ya kuwaacha wenzi wao na baadaye kulazimisha kuwarudia kwa nguvu na vitisho baada ya kugundua ndiyo wapenzi sahihi wa maisha yao.
Leo tunazungumzia mada inayosema, je, mapenzi ni vita? Ungana nami kujua mengi zaidi kupitia XXLove.
Nianze kwa kuwashukuru wasomaji wangu kwa kunitumia ujumbe mfupi wa ‘SMS’ na kunipigia simu, asanteni.
Kwenye mada ya leo ni dhahiri kuwa majibu ya haraka ya walio wengi ni lazima yatakuwa ndiyo au hapana na...
9 years ago
GPLHIVI MAPENZI YAMEKUFANYIA NINI?
9 years ago
Bongo Movies20 Dec
Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko hivi..
“Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko hivi….A anampenda B na wako wote…lakini B moyo wake uko kwa c…ni mara chache sana kupata couple zenye usawa katika kupenda…unapompenda mtu hasa ss wanaume huwa tuna tumia kila njia kuhakikisha tunammiliki..tunajaribu kuwa waugwana…wakali na wakorofi..hata na pesa kuhakikisha tuna wamiliki wapenzi wetu..lakini mapenzi sio kumiliki bali kumfanya umpendae awe na furaha…piakina dada wanapo achana na wapenzi wao huwa wanasumbuliwa na maswali ambayo sio...