Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukraine yaidhinisha sheria ya msamaha

Bunge la Ukraine limeidhinisha sheria ya kutoa msamaha kwa waandamanaji wanaozuiliwa lakini upinzani umesusia kura hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: IJUE NAMNA YA KUPATA MSAMAHA WA KODI NA USHURU BANDARINI.

Na Bashir YakubSheria  ya  Uwekezaji  ya  Mwaka  1977 imehamasisha  uwekezaji  kwa  wazawa  na  wasio  wazawa  kwa  kuweka  mazingira  rafiki  kwa  wajasiriamali katika  nyanja  zote.  Wapo  ambao  wanajua fursa hizi  na wamezitumia   kujipatia  maendeleo  na  wapo  ambao  hawajatumia  fursa  hizi.  Nataka  niseme  kitu  kimoja  kuwa  wazawa  wengi  wameshindwa  kufanikiwa  kwa  kutojua  uwepo wa fursa. Wengi  wangependa  kutumia  fursa   kama  zipo  lakini  hawajui ziko  wapi na ...

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AWATAKA WANAOACHIWA KWA MSAMAHA WA RAIS KUFUATA SHERIA ZA NCHI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amewataka baadhi ya wananchi ambao ni washtakiwa au wafungwa wanaopata msamaha wa Rais kutoka gerezani, kuacha kujiingiza katika matukio ya uhalifu jambo ambalo nikinyume na sheria za nchi.

IGP Sirro amesema hayo akiwa kwenye ziara ya ukaguzi mkoani Singida ambapo alizungumza na Polisi Kata waliopo kwenye mkoa huo na kuwataka kuendelea kushirikiana na wananchi katika mapambano dhidi ya uhalifu ikiwa pamoja na kutoa elimu kwa wananchi kuacha...

 

5 years ago

Michuzi

SHERIA YA KODI YATOA MSAMAHA KWA MAPATO YASIYOZIDI MILIONI 4 KWA MWAKA

Na. Josephine Majura na Saidina Msangi, WFM, DodomaSerikali imeeleza kuwa Sheria ya Kodi imetoa msamaha wa kodi kwa wafanyabiashara ikiwa ni pamoja na wastaafu ambao mapato yao kwa mwaka hayazidi Shilingi milioni nne.Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu swali la msingi la Mbunge wa Lupembe, Mhe. Joram Ismael Hongoli, aliyetaka kujua sababu za Serikali kutoweka utaratibu wa kutowatoza kodi wastaafu ambao biashara zao hazizidi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki yaidhinisha kura ya maoni

Bunge la Ugiriki limeidhinisha kura ya maoni iliyokuwa imeitishwa na waziri mkuu wa nchi hiyo Alexis Tsipras

 

11 years ago

Mwananchi

Bodi yaidhinisha gawio la Sh7 bilioni

Kampuni ya Saruji ya Tanga (TCCL) kupita bodi yake ya wakurugenzi imeidhinisha gawio la hisa la Sh7 bilioni kwa wanahisa wake, baada ya kupata faida ya Sh32.4 bilioni kwa mwaka 2013.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kamati kuu ya FIFA, yaidhinisha mageuzi

Kamati kuu ya shirikisho la mchezo wa soka duniani FIFA, imeidhinisha mageuzi yanayonuiwa kufufua hadhi ya shirikisho hilo lililokumbwa na kashfa nyingi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Israel yaidhinisha kuwalisha wafungwa kwa lazima

Bunge la Israeli, limepitisha sheria ya kuwalisha kwa lazima wafungwa ambao wanashiriki mgomo na kususia kula gerezani.

 

10 years ago

Michuzi

NMB Yaidhinisha Shilingi Bilioni 52 kama gawio kwa wanahisa wake

Benki ya NMB imeidhinisha shilingi Bilioni 52 kama gawio kwa wanahisa wake ikiwa ni sehemu ya faida iliyopatikana kwa mwaka 2014.Gawio hilo ni sawa na Shilingi 104 kwa kila hisa moja na ikiwa ni ongezeko la asilimia 16 kutoka gawio la mwaka jana.
Gawio hilo ni kutokana na faida ya shilingi Bilioni 156 baada ya kodi iliyopatikana kwa mwaka 2014. Faida hiyo na gawio lililoidhinishwa ni Faraja kwa wanahisa wanaojivunia benki bora yenya matawi mengi kuliko benki yoyote Tanzania ikiwa na matawi...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA YAIDHINISHA KUTOA MKOPO WA DOLA ZA KIMAREKEANI MILIONI 500 KWA TANZANIA KUBORESHA SEKTA YA ELIMU



Na Leandra Gabriel, Michuzi TV


BENKI ya dunia kupitia bodi ya wakurugenzi imeidhinisha kutolewa kwa mkopo wa dola za kimarekani milioni 500 (USD 500) kusaidia sekta ya elimu hasa kwa kuwawezesha vijana wa kitanzania kupata na kumaliza elimu ya Sekondari salama na katika mazingira bora.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Benki ya dunia imeelezwa kuwa pesa hizo zitawanufaisha wanafunzi milioni sita na nusu wa shule za sekondari kwa kuisaidia Serikali kuanzisha mifumo madhubuti kwa wanafunzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani