Ukraine:Upinzani wapata afueni
Rais wa Ukraine Victor Yanukovych ameupa upinzani baadhi ya nyadhifa muhimu za serikali katika juhudi za kumaliza mgogoro wa kisiasa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Wafungwa wa Burundi wapata afueni
Hatua ya Serikali ya Burundi kuwaachia kwa msamaha wa Rais wafungwa zaidi ya elfu tatu imeanza kutekelezwa.
11 years ago
BBCSwahili12 Feb
Wakazi wa Homs Syria wapata afueni
Mwandishi wa BBC katika mji uliozungukwa Homs nchni Syria anasema magari mawili yaliobeba chakula yamefika katika mji huo.
11 years ago
BBCSwahili19 Feb
Upinzani walaumiwa Ukraine 'ikiteketea'
Zaidi ya watu 20 wakiwemo polisi wameuwawa wakati waandamanaji wakikabiliana na polisi usiku kucha.
9 years ago
BBCSwahili26 Oct
Upinzani wapata ushindi mkubwa Poland
Chama cha Conservative Law and Justice cha Poland kimepata ushindi mkubwa zaidi kuwahi kupatikana tangu mwaka wa 1989.
11 years ago
BBCSwahili26 May
Chai afueni ya umasikini Sudan
Kutana na wanawake wanaouza chai mitaani Sudan kama njia ya kujikimu kimaisha
11 years ago
BBCSwahili11 Feb
Afueni kwa watuhumiwa wa Rwanda
Mahakama maalum ya Kimataifa ya Rwanda- ICTR imefutilia mbali kesi dhidi ya maafisa waandamizi wawili waliodaiwa kuhusika na mauaji ya kimbari
11 years ago
BBCSwahili11 Jan
Afueni kwa Raia wa S.Kusini UG
Huku mzozo wa Sudan Kusini ukizidi kutokota, na mazungumzo ya amani mjini Addis Ababa kwenda mwendo wa kobe, maelfu ya wakimbizi wanaendelea kuvuka kuingia Uganda
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
Afueni kwa wajakazi Brazil
Sheria mpya ambapo waajiri watatozwa faini iwapo watashindwa kuwasajili wafanyikazi wao wa nyumbani imeanza kutekelezwa Brazil.
9 years ago
BBCSwahili19 Aug
Ugiriki yapata afueni ya kiuchumi
Bunge la ujerumani limepitisha maamuzi ya kuikomboa Ugiriki kiuchumi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania