Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKWELI KUHUSU HABARI YA DIVA KUTAMKA ZITTO NI MUME WAKE

KATIKA Gazeti la Amani Toleo Namba 829 la Septemba 11-17, 2014, kulichapishwa habari ukurasa wa mbele iliyosomeka: “DIVA: ZITTO NI MUME WANGU.” Ikikolezwa na dondoo ‘Adai ni mke anayetambulika kisheria’ na ‘Asema hayuko tayari kuachana naye kirahisi,’ ambayo uongozi wa gazeti umekusudia kwa nia njema kutoa ukweli juu ya habari hiyo. Loveness Malinzi (Diva). Ufafanuzi huu unalenga kumaliza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIVA: ZITTO NI MUME WANGU

Na Shakoor Jongo
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa kupitia Radio Clouds FM ya jijini Dar, Loveness Malinzi ‘Diva’ kwa mara ya kwanza, amejilipua kuzungumzia uhusiano wake na Zitto Kabwe kwamba walikuwa mke na mume. Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho, Loveness Malinzi ‘Diva’ akipozi. Katika mahojiano maalum na mwanahabari wetu jijini Dar juzi, Diva alisema anashangazwa na baadhi...

 

10 years ago

GPL

ZITTO AANIKA UHUSIANO WAKE NA DIVA

Stori: Erick Evarist KWA mara ya kwanza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kuzungumzia uhusiano wake na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ na kufuta uvumi mzito uliokuwa ukizagaa kuwa wawili hao ni wapenzi. Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’. Zitto alifunguka hayo juzi kupitia kipindi cha Mkasi kinachorushwa na Televesheni ya East Africa ambapo...

 

10 years ago

Vijimambo

Ukweli Kuhusu Tevez Aliyekatwa Uume Wake Baada ya Kuwazulumu Madawa ya Kulevya Wenzake

HABARI ZA UHAKIKA JUU YA SAKATA LA JUMAANNE TEVEZ. Nikweli kwamba huyu bwana yuko South Africa Pretoria. Bwana Tevez alodhaminiwa mzigo na vijana wenzake huko Bondeni kwamba akauze kisha alete Mpunga. Mdhamini alikuwa ni Kijana wa Kibongo anayeonekana pichani anayeitwa Jeff Katili mtoto wa Ilala ambaye maskani yake ni South. TEVEZ baada ya kuchukua mzigo uliokuwa na thamani ya takriban milioni mia moja na hamsini (150,000,000/=) aliingia mitini hakurudi tena. Kilichotokea Jeff baada ya...

 

10 years ago

Bongo5

Zitto: Sina uhusiano na Mwasiti wala Diva

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kukana kuwa na mahusiano na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness ‘Diva’ pamoja na msanii wa muziki, Mwasiti. Zitto alifunguka hayo juzi kupitia kipindi cha Mkasi cha EATV ambapo alikanusha kuwa na uhusiano wowote wa mapenzi na mastaa hao licha ya kudaiwa kutungiwa wimbo na Diva. “Mh! […]

 

10 years ago

Bongo5

Global Publishers yawaomba radhi Zitto Kabwe na Diva

Kupitia gazeti la Amani la Septemba 11-17, 2014, kulichapishwa habari ukurasa wa mbele iliyosomeka: “DIVA: ZITTO NI MUME WANGU.” Ikikolezwa na dondoo ‘Adai ni mke anayetambulika kisheria’ na ‘Asema hayuko tayari kuachana naye kirahisi,’. Na sasa uongozi wa gazeti hilo umekusudia kwa nia njema kutoa ukweli juu ya habari hiyo. Ufafanuzi huu unalenga kumaliza mkanganyiko […]

 

9 years ago

Bongo5

Diva amlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse amemlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita. Diva ametumia Instagram kuandika ujumbe mrefu unaosikitisha kueleza ni kwa kiasi gani anamkosa mtu huyo: 12 years My Love 12 years , hata siamini, kama ni kitabu yaan naandika nashindwa Malizia, wanasema kwenye Maisha unapenda Mara Moja tu, ama kweli Mara […]

 

10 years ago

GPL

ESCROW: UTETEZI MREFU WA WATUHUMIWA UKWELI WABAKI KAMATI YA ZITTO

Stori: waandishi wetu
ESCROW kila kona! Wabongo wameibuka na msemo mpya kuhusu sakata la uchotwaji wa fedha za umma kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow iliyofunguliwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wakilitolea tafsiri iliyobeba kichwa cha habari hii kwamba Escrow ni Eneza Siasa Chota Riziki Ondoa Woga. Waziri mkuu Mizengi Pinda. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na gazeti hili, baadhi ya wananchi wamesema mtu akitaka riziki kirahisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani