Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Global Publishers yawaomba radhi Zitto Kabwe na Diva

Kupitia gazeti la Amani la Septemba 11-17, 2014, kulichapishwa habari ukurasa wa mbele iliyosomeka: “DIVA: ZITTO NI MUME WANGU.” Ikikolezwa na dondoo ‘Adai ni mke anayetambulika kisheria’ na ‘Asema hayuko tayari kuachana naye kirahisi,’. Na sasa uongozi wa gazeti hilo umekusudia kwa nia njema kutoa ukweli juu ya habari hiyo. Ufafanuzi huu unalenga kumaliza mkanganyiko […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Vodacom yawaomba radhi wateja 

KAMPUNI ya simu za mikononi ya Vodacom imewaomba radhi wateja wake kutokana na kukatika kwa huduma. Akizungumza na Tanzania  Daima jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, alisema hali...

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yakwea pipa kutumbuiza Oman, yawaomba radhi mashabiki wake Dar

10494817_372473116244006_3617867818539775125_n

Uongozi wa Skylight Band unawaomba radhi mashabiki wake wa Dar es Salaam kwa kutokuwepo nchini kwa ajili ya kutoa burudani jioni ya leo kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki pamoja na siku ya Jumapili kwenye Skylight Sunday Bonanza katika kiota cha maraha Escape One kutokana na kupata mwaliko wa kutumbuiza nchini Oman.

Skylight Band watarejea nyumbani wiki ijayo na kuendelea na ratiba zao kama kawaida ambapo siku ya Ijumaa  tarehe 10/10/2014  watakuwepo Thai Village pamoja na...

 

11 years ago

Michuzi

M-Pesa yarejea hewani,Vodacoma yawaomba radhi wateja wake kwa tatizo lililojitokeza

Wateja wa huduma ya M-pesa wamehakikishiwa usalama wa fedha zao wakati ambapo huduma hiyo ikiwa imerejea kwa asilimia mia moja baada ya kukosekana kufuatia tatizo la kiufundi lililojitokeza mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza amewaambia waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo kuwa huduma hiyo kwa sasa iko imara na kuchukua nafasi hiyo kuwoamba radhi wateja kwa usumbufu walioupata wakati huduma hiyo ilipokosekana.
“Napenda kuwaomba radhi wateja wetu...

 

10 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAKWEA PIPA KUTUMBUIZA OMAN, YAWAOMBA RADHI MASHABIKI WAKE DAR‏

Uongozi wa Skylight Band unawaomba radhi mashabiki wake wa Dar es Salaam kwa kutokuwepo nchini kwa ajili ya kutoa burudani jioni ya leo kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki pamoja na siku ya Jumapili kwenye Skylight Sunday Bonanza katika kiota cha maraha Escape One kutokana na kupata mwaliko wa kutumbuiza nchini Oman. Skylight Band watarejea nyumbani wiki ijayo na kuendelea na ratiba zao kama kawaida ambapo siku ya...

 

10 years ago

GPL

MAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE

Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…

 

10 years ago

Michuzi

DAWASCO yawaomba radhi wakazi wote wa jiji la Dar na mji wa Bagamoyo kwa kukosekana kwa huduma ya maji

DAWASCO inaomba radhi wakazi wote wa jiji la Dar es salaam na Mji wa Bagamoyo kwa kukosekana kwa huduma ya Maji kutoka katika mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini kwa wastani wa saa 72 kwa siku za Ijumaa hadi Jumatatu ya tarehe 28, 29  na 30 November 2014. 
Kukosekana kwa huduma hii kulitokana na kazi ya mkandarasi (Sino-hydro Corporation ltd) kuunganisha bomba la zamani na bomba jipya (cross-connection) katika mtambo wa Ruvu Chini eneo la Mpiji, Bagamoyo na eneo la Chuo Kikuu Ardhi...

 

10 years ago

GPL

DIVA: ZITTO NI MUME WANGU

Na Shakoor Jongo
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa kupitia Radio Clouds FM ya jijini Dar, Loveness Malinzi ‘Diva’ kwa mara ya kwanza, amejilipua kuzungumzia uhusiano wake na Zitto Kabwe kwamba walikuwa mke na mume. Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho, Loveness Malinzi ‘Diva’ akipozi. Katika mahojiano maalum na mwanahabari wetu jijini Dar juzi, Diva alisema anashangazwa na baadhi...

 

10 years ago

GPL

ZITTO AANIKA UHUSIANO WAKE NA DIVA

Stori: Erick Evarist KWA mara ya kwanza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kuzungumzia uhusiano wake na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ na kufuta uvumi mzito uliokuwa ukizagaa kuwa wawili hao ni wapenzi. Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’. Zitto alifunguka hayo juzi kupitia kipindi cha Mkasi kinachorushwa na Televesheni ya East Africa ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani