Ulanguzi katika soka :BBC imegundua
Wachezaji wa Afrika,miaka 14 wanasafirishwa kiharamu barani Asia, BBC yagundua. Wanalazimishwa kusaini mikataba kinyume cha sheria
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
BBC Africa Eye: imegundua vitendo vya mateso vinavyotekelezwa na polisi
Kitengo cha BBC Africa Eye kimebaini ushahidi wa video zinazoshtusha ukionesha vitendo vya utesaji watu.
10 years ago
BBCSwahili27 Apr
10 years ago
BBCSwahili20 Mar
Wanafunzi watangazaji katika BBC
Kila mwaka BBC hutoa fursa kwa wanafunzi wa kati ya miaka 11 na miaka 16 walio na ndoto ya kuwa waandishi wa habari kupata mafunzo.
9 years ago
Mwananchi16 Sep
‘Marufuku siasa katika soka’
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limepiga marufuku wadau wake kuelezea hisia zao za kisiasa na kujihusisha katika kampeni za kisiasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mchezo huo yenye nembo za klabu na wadhamini wa ligi.
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Vodacom kutumia Sh bil 6.6 katika soka
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), jana limeingia mkataba mpya wa Sh bilioni 6.6 na kampuni ya simu za mkononi Vodacom kwa ajili ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.
Mkataba huo wa miaka mitatu unaifanya Vodacom kuendelea kuwa wadhamini wakuu wa ligi kuu nchini kwa miaka mitatu zaidi katika msimu wa 2015/16 ambapo kila mwaka watakuwa wakipokea Sh bil 2.2.
Aidha, msimu mpya wa ligi utakaoanza Septemba 12 mwaka huu utakuwa na timu 16 zitakazomenyana mwa miezi tisa kinyume na awali ligi...
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Ahadi hewa katika soka hazitakiwi
Mchezo wa soka siyo siasa. Madhara ya kuchanganya siasa na soka wote tunayafahamu. Soka la Tanzania linapukutika umaarufu kutokana na viongozi kuingiza siasa ndani yake. Mifano iko mingi!
10 years ago
BBCSwahili23 Oct
10 years ago
MichuziBENKI YA CRDB NA TEKNOLOJIA KATIKA SOKA
Benki ya CRDB, imeendelea kuimarisha ushirikiano na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika upatikanaji wa Tiketi za kieelectroniki kwa wapenzi wa soka.
Mfumo wa kupatikana Tiketi kwa njia ya Kielectroniki unalengo la kuongeza mapato ya TFF na hata kwa Vilabu vinavyoshiriki katika ligi inayodhaminiwa na TFF.
Jumapili kesho, tarehe 14/9/2014, Mfumo wa kielektroniki utatumika tena kuwauzia wapenzi wa soka tiketi kwa ajili ya kwenda kushuhudia mechi kali kati ya Yanga na AZAM, kuwania Ngao ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania