Wanafunzi watangazaji katika BBC
Kila mwaka BBC hutoa fursa kwa wanafunzi wa kati ya miaka 11 na miaka 16 walio na ndoto ya kuwa waandishi wa habari kupata mafunzo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Jul
Profile za watangazaji wa BBC, Dira ya Dunia
Kassim Kayira_Swahili.docx by zainul_mzige21
Peter Musembi_Swahili.docx
Salim Kikeke_swahili.docx
Zuhura Yunus_Swahili.docx
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Wanafunzi wanaojihusisha katika biashara ya ngono kugharamia maisha yao katika vyuo vikuu
10 years ago
BBCSwahili21 Jul
Ulanguzi katika soka :BBC imegundua
10 years ago
Habarileo11 Oct
Watangazaji waiponza Times Fm
KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa onyo kali kwa kituo cha Redio cha Times Fm, pamoja na faini ya kulipa kiasi cha Sh milioni 1, kutokana na kukiuka vifungu vya maadili na kanuni za utangazaji, vilivyopo katika leseni ya utangazaji inayotolewa na mamlaka hiyo.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/2BAEDA9000000578-0-image-m-11_1440643472151.jpg)
MUUAJI WA WATANGAZAJI MAREKANI AJIUA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7AvgqgLRyYkqa2UB*sgwyhSVitfHY*q*azT3f-W-jQOy10WG1nZmOumkmF-8s5HuP0vstdI50wRngvbgR1ODoUvx4ggiUeoI/1.jpg?width=650)
WATANGAZAJI WA EFM RADIO WAJIACHIA
10 years ago
Mwananchi19 Jul
Watangazaji wa kike wanaoipamba Azam TV
10 years ago
StarTV16 Apr
Wanaonyanyasa wanafunzi katika usafiri watakiwa kushughulikiwa.
Na Abdalla Pandu,
Zanzibar.
Wakati umefika kwa wadau mbalimbali kuhakikisha wanasimamia kikamilifu sheria za daladala juu ya kuwabeba wanafunzi ili kuondoa manyanyaso yanayofanywa na madereva na makondakta dhidi ya wanafunzi wakati wa kwenda shule ama kurejea nyumbani.
Jumuiya ya Serikali za wanafunzi visiwani Zanzibar imeamua kuwaalika wadau mbalimbali wanaohusika na usafirishaji pamoja na wasimamizi wa sheria ili kulitafutia ufumbuzi suala la manyanyaso wanayoyapata wanafunzi ambayo...
10 years ago
Habarileo06 Dec
Serikali yaagiza mafunzo kwa watangazaji
SERIKALI imeviagiza vyombo vyote vya utangazaji hapa nchini kuhakikisha wafanyakazi wao wanapatiwa mafunzo na kupewa ujuzi wa kufanya kazi kwa uadilifu.