Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ulinzi Dar si wa kawaida

kovaVeronica Romwald na Tunu Nassoro, Dar es Salaam
HALI ya ulinzi katika viunga vya Jiji la Dar es Salaam sasa si ya kawaida, kutokana na askari wa Jeshi la Polisi kuonekana kutanda katika maeneo mbalimbali.
MTANZANIA Jumamosi limebaini jana kuwapo kwa idadi kubwa ya askari wa Jeshi la Polisi ambao wamesambaa katika maeneo mbalimbali ya jiji, zaidi wakiwa na silaha kama bunduki na virungu.
Baadhi ya maeneo ambayo gazeti hili limeshuhudia ulinzi wake kuwa si wa kawaida ni pamoja na Mlimani City,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Lowassa: Hali isiyo ya kawaida huibua hatua zisizo za kawaida

WIKI iliyopita niliandika kusema kwamba Edward Lowassa kuhama kutoka chama kilichomlea ilikuwa ni

Jenerali Ulimwengu

 

9 years ago

Mwananchi

Hali ya Hewa: Joto Dar si la kawaida

Joto kali lililoikumba mikoa ya pembezoni mwa Bahari ya Hindi hasa Dar es Salaam imeelezwa kuwa si la kawaida kutokana kiwango cha wastani cha joto duniani.

 

10 years ago

GPL

MR. CHAMPIONI KAMA KAWAIDA YAKE AZIDI KUTAMBA MTAANI JIJINI DAR

Mr.Championi akimpatia zawadi msomaji wa Gazeti la Championi Jumamosi baada ya kumkuta nalo.…

 

9 years ago

Michuzi

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi alivyoshiriki zoezi la usafi Lugalo, Jijini Dar

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange (kulia), Mkuu wa Brigedi ya Chui, Brigedia Jenerali Sharif Othman (kushoto) pamoja na Maafisa na Askari wakishiriki zoezi la usafi katika kambi ya Lugalo, jijini Dar es Salaami wakati wa kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru kama alivyoagiza Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATOA MHADHARA KATIKA CHUO CHA ULINZI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo amekumbuka enzi za kuwa mwalimu katika Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania cha Monduli, Arusha, alipotoa  mhadhara  kuhusu Fursa (A lecture of Opportunity) katika Chuo cha Taifa cha ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo Kunduchi  jijini Dar es salaam ambako aliahidi kwamba baada ya kustaafu Urais mwakani atakuwa mwalimu chuoni hapo. Pichani anaonekana  Rais Kikwete...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA MHADHARA KATIKA CHUO CHA ULINZI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo amekumbuka enzi za kuwa mwalimu katika Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania cha Monduli, Arusha, alipotoa  mhadhara  kuhusu Fursa (A lecture of Opportunity) katika Chuo cha Taifa cha ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo Kunduchi  jijini Dar es salaam ambako aliahidi kwamba baada ya kustaafu Urais mwakani atakuwa mwalimu chuoni hapo. Pichani anaonekana  Rais Kikwete akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wanafunzi hao baada ya mhadhara wake.

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aagwa na Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini mapema leo jijini Dar es Salaam

1 (1)

Picha ya juu na chini: Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi  na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati wa sherehe ya kuagewa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.

2 (1)

…Naaga!!

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza mahafali ya Tatu ya Chuo Cha Ulinzi wa Taifa (NDC) Jijini Dar leo

Amiri Jeshi Mkuu ,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa kozi ya Tatu ya Chuo Cha Ulinzi wa Taifa (National Defence College NDC) huko Kunduchi jijini Dar es Salaam leo.Aliyeketi Pembeni ya Rais kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange na aliyeketi pembeni ya Rais Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali Gaudence Salim Milanzi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na medali ya dhahabu ya mwanafunzi bora katika kozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani