Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ulinzi waimarishwa kwa Magufuli

>Saa chache baada ya Dk John Magufuli kutangazwa kuwa mteule wa CCM kuwania urais, ulinzi umeimarishwa kwa mgombea mwenyewe, nyumbani kwake eneo la Ada Estate, Dar es Salaam na jimboni Chato mkoani Geita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Ulinzi waimarishwa Dodoma

Mjini Dodoma

Mjini Dodoma

DEBORA SANJA, DODOMA NA ESTHER MBUSSI, DAR

VIKOSI vya ulinzi na usalama, vimeimarisha ulinzi mkoani Dodoma ikiwa ni maandalizi ya sherehe za kukabidhi Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba kwa Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein.

Kukabidhiwa kwa Katiba hiyo kunahitimisha uhai wa siku 90 za Bunge la Katiba ambalo lilianza vikao vyake Februari 18 hadi Aprili 25, mwaka huu kwa kupisha vikao vya Bunge la Bajeti.

Awamu ya pili ya uhai wa Bunge...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ulinzi waimarishwa Brussels

Ubelgiji imewakamata watu 16 katika operesheni ya polisi kupambana na ugaidi mjini Brussels.

 

9 years ago

Raia Mwema

Ulinzi waimarishwa Nairobi

KIONGOZI Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Fransisko anatarajiwa kuwasili hapa leo j

Paul Sarwatt

 

11 years ago

Mwananchi

Ulinzi waimarishwa mara dufu bungeni

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kuleta kiwewe ndani ya Bunge la Katiba ambako sasa ulinzi umeonekana kuongezwa mara dufu.

 

11 years ago

Mwananchi

Ulinzi waimarishwa Viwanja vya Sabasaba

Ulinzi katika Maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), yanayofanyika katika Uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere umeimarishwa na kazi ya kufunga kamera za ulinzi imekamilika.

 

10 years ago

Vijimambo

ULINZI WAIMARISHWA NDANI YA JIJI LA WASILO LALA NEW YORK CITY WIKI ENDI HII YA 4TH JULY


Hapa ni polisi akimpatia maelekezo wapi kwa kupita msafiri katika kituo kikubwa cha mabasi cha Port Authority New York City.Hapa ni Times Square sehemu maarufu sana ukifika New York City.Njemba zimesimama zikipanga mikakati ya jinsi ya kujipanga sehemu yao ya kazi.Polisi wakipeana majukumu tayari kuingia mzigoni.Kikosi maalumu cha Federal Emergency tayari kwa kukabiriana na lolote ndani ya 4th july wiki endi hii.

 

9 years ago

Raia Mwema

Rais Magufuli aimarishiwe ulinzi

“Hotuba hii ya Rais Magufuli ni moja ya hotuba bora kabisa katika historia ya siasa za Tanzania.”

Evarist Chahali

 

10 years ago

Mtanzania

Polisi waimarisha ulinzi kuapishwa Dk. Magufuli

magulVERONICA ROMWALD NA GODFREY MBANILE (GPC), DAR ES SALAAM

JESHI la Polisi limesema limeimarisha ulinzi kesho wakati wa kuapishwa Rais mteule wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli.

Sherehe za kuapishwa Dk. Mgufuli zitafanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam  ambapo  viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wanatarajiwa kuhudhuria.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Kamishna wa Oparesheni Maalumu wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja,  alisema ni marufuku kwa wananchi kushiriki...

 

10 years ago

Michuzi

NITABORESHA MASLAHI YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA-MAGUFULI

MGOMBEA urais kwa teketi ya CCM, Dk.John Magufuli akifafanua jambo kwa msisitizo huku akibainisha kuwa iwapo atachaguliwa kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu, basi Serikali yake itahakikisha inaboresha maslahi ya watumishi wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini kutokana na kutambua mchango wao katika kulinda amani ya nchi yetu.

Dkt Magufuli alisema kuwa anataka kuona watumishi wa jeshi hilo wanakuwa na mishahara mizuri na hiyo itawezesha kufanya kazi ya ulinzi na usalama wa nchi kwa ufanisi zaidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani