Polisi waimarisha ulinzi kuapishwa Dk. Magufuli
VERONICA ROMWALD NA GODFREY MBANILE (GPC), DAR ES SALAAM
JESHI la Polisi limesema limeimarisha ulinzi kesho wakati wa kuapishwa Rais mteule wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli.
Sherehe za kuapishwa Dk. Mgufuli zitafanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambapo viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wanatarajiwa kuhudhuria.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Kamishna wa Oparesheni Maalumu wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja, alisema ni marufuku kwa wananchi kushiriki...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Apr
Polisi waimarisha ulinzi sikukuu ya Pasaka
JESHI la Polisi limeimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mwanza, ikiwemo katika Ziwa Victoria pamoja na makanisani wakati wa Sikukuu ya Pasaka, na kuhadharisha wananchi kutoa taarifa watakapopata shaka kuhusu watu, au vitendo vinavyoashiria ugaidi.
9 years ago
Habarileo05 Nov
Magufuli kuapishwa leo
RAIS mteule, Dk John Magufuli anatarajiwa kuapishwa rasmi leo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru uliopo jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo06 Nov
Maelfu wapamba sherehe kuapishwa Magufuli
SHEREHE za kumwapisha Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano wa Tanzania, jana zilifana ambapo pamoja na wananchi wengi kujitokeza na kufurika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, pia marais mbalimbali wakiwemo wote wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, walihudhuria sherehe hizo.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/TB-JOSHUA-1.jpg)
T.B JOSHUA ATUA DAR KUSHUHUDIA KUAPISHWA DK. MAGUFULI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cDEmeB8bWGRty6pSv7bb1n-NdJOTCkyWYJDj9BFjcdV0sU-MHFx3*-rk-mWbZGjcKEh6oQrBSe5OY-AN6ENWkAtHo2VfgStq/18795_1018344841509273_755717327467522337_n.jpg?width=750)
RAIS MTEULE JOHN POMBE MAGUFULI KUAPISHWA LEO
9 years ago
Mwananchi04 Nov
TB Joshua, marais wanane Afrika kushuhudia kuapishwa Magufuli
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-GHj0aXUtmGc/VLAljH2GZHI/AAAAAAAG8TQ/8b4wh4h91v8/s72-c/image061.jpg)
TAMKO LA POLISI KUHUSU ZOEZI LA KUAPISHWA KWA WENYEVITI NA WAJUMBE WA SERIKALI ZA MITAA
![](http://4.bp.blogspot.com/-GHj0aXUtmGc/VLAljH2GZHI/AAAAAAAG8TQ/8b4wh4h91v8/s1600/image061.jpg)
Baadhi ya wananchi wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya kihalifu kwa kufanya fujo na vitendo vya vurugu ikiwemo kuwapiga baadhi ya watendaji wanaosimamia zoezi la kuapisha na kuwapiga viongozi wateule...
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Mazoezi ya kuapishwa kuwa Rais Dk Magufuli yapamba moto Dar
Kibanda cha kitakachotumika wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule, Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho kutwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Askari wa Jeshi la Wananchi akiigiza kama Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange na mwingine akiigiza kama Rais anayemaliza muda wake, Jakaya Kikwete wakati wa mazoezi ya sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli...
9 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-BGclK02VcsI/VjvFdN8DBqI/AAAAAAAIEdk/EUh70hhjlaE/s640/j1.jpg)
HAFLA YA MCHAPALO (COCKTAIL PARTY) WA KUSHEREHEKEA KUAPISHWA KWA RAIS DK. MAGUFULI