Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umasikini nchini wapungua zaidi

HALI ya umasikini nchini imepungua kutoka asilimia 34 hadi kufikia asilimia 28.2 ya Watanzania, ambao sasa ndio ambao wanaelezwa kuwa ni masikini zaidi, kutokana na kuishi chini ya Sh 1,216 fedha ambazo ndio uwezo wao katika kukidhi mahitaji yao ya msingi ya kila siku.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mfumuko wa bei wapungua nchini

Mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia Desemba mwaka jana umeshuka hadi kufikia asilimia 4.8 kutoka asilimia 5.8 ya Novemba kutokana na kupungua kwa bei za bidhaa mbalimbali ikielezwa kwamba kupungua huko kulikuwa hakujatokea kwa miaka miwili iliyopita.

 

10 years ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI NCHINI WAPUNGUA

Na. Aron Msigwa-MAELEZO.
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Septemba 2014 umepungua hadi kufikia asilimia 6.6 kutoka asilimia 6.7 iliyokuwepo mwezi Agosti kutokana na kupungua kwa bei ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Bw. Ephraim Kwesigabo amesema kuwa bidhaa za vyakula zikiwemo mchele, mahindi, ulezi, matunda, Sukari na vinywaji baridi...

 

10 years ago

Mwananchi

Vijana wanaofunga ndoa wapungua nchini

>Ugumu wa maisha unaozikabili familia nyingi nchini unaelezwa kusababisha athari nyingi kwa maendeleo ya jamii.

 

10 years ago

GPL

MFUMUKO WA BEI NCHINI WAPUNGUA‏

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Januari, 2015 leo jijini Dar es salaam.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Januari, 2015  umepungua hadi kufikia asilimia 4.0 kutoka asilimia 4.8 ya mwezi Desemba, 2014 kutokana na kuendelea kupungua kwa kasi ya bei ya bidhaa...

 

11 years ago

Michuzi

MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII,TASAF NA JITIHADA ZA KUPAMBANA NA UMASIKINI NCHINI.

Afisa kutoka TASAF makao makuu Bw. Geodfrey Nyamwihula akisisitiza jambo kwa walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya masikini katika shehia ya Bandamaji wilaya ya Kaskazini B Unguja wakati walengwa wa mpango huo walipopewa mafunzo ya namna ya kuibua miradi ya ujenzi PWP ambayo ni moja ya jitihada za serikali kupitia TASAF kuongeza pato la kaya husika .
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF umeanza zoezi la kuwashirikisha walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya masikini kuibua miradi ya Ujenzi PWP...

 

5 years ago

Michuzi

SIKU YA WAJANE DUNIANI, ZAIDI YA WAJANE MILIONI 250 WANAISHI KATIKA DIMBWI LA UMASIKINI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wajane katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, Aprili nne, 2019.
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVKUPOTEZA wenza ni jambo linalovunja mioyo ya wanawake wengi duniani hasa kwa nchi zinazoendelea, wajane katika nchi hizo wamekuwa na muendelezo wa kutafuta mahitaji yao muhimu, haki zao pamoja na utu ambapo katika baadhi ya tamaduni nyingi za kiafrika huwachukulia wajane kwa namna ya tofauti ikiwemo kurithiwa na ndugu wa mume na...

 

10 years ago

Habarileo

Ujangili wapungua

Ujangili ni hatari kwa temboKWA mwaka uliomalizika jana, mapambano dhidi ya ujangili na biashara haramu ya bidhaa zinazotokana na wanyama pori, yameimarishwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Ujangili wapungua Selous’

KUTOKANA na jitihada kadhaa zilizofanywa na serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii juu ya mapambano dhidi ya ujangili, idadi ya Tembo katika mbuga ya Selous imeanza kuongezeka. Hiyo inatokana...

 

11 years ago

Mwananchi

Wahitimu wa kike wapungua

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama amesema idadi ya wahitimu wa kike wa kidato cha sita ni ndogo kuliko wahitimu wa kiume.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani