UMEJITATHMINI KIMAPENZI KWA MWAKA MPYA?
![](http://api.ning.com:80/files/TuH-vYM0DCwZ761mZkxBAaiiXea7SgSyfE8CDr8TZAa8iFTo3gjq-hahaX9VM9roIvmXwfba0UuRpbZCPQ2gzBjvUSxOegEx/Love.jpg?width=650)
Heri ya Mwaka Mpya! Mimi na wewe tunapaswa kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuumaliza salama mwaka 2014 na kuuanza mwaka mpya wa 2015. Najua wapo wengi ambao walitamani kuuona mwaka huu lakini kwa namna moja au nyingine, wakashindwa. Karibu tena tujadili mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Njia nzuri ya kuuanza mwaka mpya, ni kupata muda wa kukaa na kutathmini nyendo zako na mambo yote yaliyotokea katika maisha yako...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 …
Mtu wangu wa nguvu najua tunaelekea kuuaga mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016. Kaabla ya kumalizika mwaka 2015 naomba nikusogezee video ya matukio ya kuchekesha katika soka yaliyotokea kwa mwaka 2015. Katika hii video kuna matukio ya Pep Guardiola na Frank Ribery. Jamaa kumbiss Zlatan Ibrahimovic. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]
The post Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 … appeared first on...
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania Jan 2 na 3…
Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza January 3 2016 Zanzibar, lakini hiyo haimaanishi mtu wangu hakuna mechi kali za soka weekend ya January 2 na January. Najua bado unasherehekea mwaka mpya lakini, hizi ndio mechi 21 sio za kukosa siku ya Jumamosi ya January 2 na […]
The post Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania Jan 2 na 3… appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa kutazama mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania
Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza January 3 2016 Zanzibar, lakini hiyo haimaanishi mtu wangu hakuna mechi kali za soka weekend ya January 2 na January 3. Najua bado unasherehekea mwaka mpya lakini, hizi ndio mechi 21 sio za kukosa siku ya Jumamosi ya January 2 […]
The post Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa kutazama mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Anza mwaka kwa mwonekano mpya
9 years ago
BBCSwahili31 Dec
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Mwaka mpya, tujenge nchi kwa pamoja
Ijumaa ijayo Watanzania wote tunaingia Mwaka Mpya wa 2016. Kwangu binafsi mwaka 2015 umekuwa wa bahati mbaya ya kukumbwa na balaa baada ya kampuni yetu kupoteza wafanyakazi wawili, Robert Tillya na Haruni Sanchawa, hakika yalikuwa mapigo mazito lakini hayo yote mimi na wenzangu tunamuachia Mungu.
Ndugu zangu,
Kwangu mwaka 2016 nadhamiria uwe ni wa kusonga mbele kwa kila Mtanzania. Na ningependa sote tuwe na dhamira hiyo ya kusonga mbele kama watu binafsi na kama taifa. Tutangulize zaidi...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Tunapouanza mwaka mpya kwa maumivu ya kujitakia
NIMEPIGIWA simu nyingi na kuandikiwa ujumbe wa maandishi na baadhi ya watu waliosoma makala yangu Jumatano wiki iliyopita, iliyokuwa ikijadili namna mbunge wa CCM alivyofanya dhihaka katika msiba. Naambiwa wananchi...
9 years ago
BBCSwahili01 Jan
Kwa Picha: Miji ilivyoukaribisha mwaka mpya 2016
9 years ago
Habarileo04 Jan
Wazee Bunda washerehekea mwaka mpya kwa usafi
WAZEE wa Kata ya Nyamuswa, wilaya ya Bunda, mkoani Mara, kupitia umoja wao ujulikanao kwa jina la Umoja wa Wazee wa Maendeleo Kata ya Nyamuswa, juzi walisherehekea mwaka mpya wa 2016 kwa kufanya usafi wa mazingira na kujenga chumba cha maiti katika Kituo cha Afya Ikizu.