Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umeshawahi kujiuliza kama sanamu zinastahili kuwepo?

Sanamu huwa zinawakilisha jambo au mtu fulamu au historia, lakini umeshawahi kujiuliza kama sanamu zinastahili kuwepo?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wapinzani watakiwa kujiuliza kama wanatosha kuongoza nchi

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wabunge wa Mkoa wa Morogoro, Amos Makala amesema dola haitafutwi kwa lelemama na kutaka wapinzani kujiuliza kama wanatosha kuongoza nchi ifikapo uchaguzi mkuu 2015.

 

11 years ago

Mwananchi

Arsenal, City kujiuliza upya

>Jose Mourinho anahitaji kuona kiwango cha Eden Hazard wakati Chelsea watakapokuwa wakisaka kujikita kileleni kwa kuivaa Everton leo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtibwa kujiuliza kwa Ndanda

Mtibwa Sugar iliyojeruhiwa katika mechi mbili zilizopita, inaikabili Ndanda kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara katika mchezo wa Ligi Kuu. Nayo Coastal Union itaikaribisha Mbeya City kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ronaldo azindua sanamu yake

Cristiano Ronaldo amezindua sanamu yake ya kumuenzi kwa mafanikio yake, katika mji aliozaliwa wa Funchal kwenye Kisiwa Madeira.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sanamu ya Rhodes yang'olewa

Sanamu la Cicil John Rhodes aliyewahi kuitawala Cape Town, imeondolewa katika chuo kikuu cha Cape Town, Afrika kusini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wa IS wavunja sanamu Iraq

Wapiganaji wa Islamic State wametoa kanda ya video inayowaonyesha wakivunja sanamu ndani ya makavazi katika mji wa Mosul iraq

 

10 years ago

BBCSwahili

Sanamu ya Gandhi yafunuliwa London

Sanamu ya shaba ya mkombozi wa India, Mahatma Gandhi, yafunuliwa na David Cameron London

 

11 years ago

BBCSwahili

Sanamu ya Mandela yazinduliwa A. Kusini

Sanamu kubwa zaidi duniani ya Nelson Mandela imezinduliwa mjini Pretoria siku moja baada ya rais huyo wa zamani kuzikwa.

 

11 years ago

GPL

MASWALI 10 YA KUJIULIZA KABLA YA KUACHANA (TALAKA) -2

Somo letu linahusu maswali ya kujiuliza kabla ya kuchukua uamuzi wa kuachana au kupeana talaka (kwa wanandoa). Binadamu si kama mbuzi, kwa maana hiyo wanapokutana, kunakuwa na sababu ya kukutana kwao, hivyo haitakiwi kuamua kuachana bila angalizo. Wiki iliyopita nilikupa utangulizi unaojitosheleza kiufafanuzi, leo utaanza kujifunza au kujiongezea elimu kuhusu maswali 10 ambayo ama yanaweza kukufanya urudi nyuma na kuendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani