Umewahi kujaribu mtindo wa nguva?
Inawezekana umewahi kujaribu aina mbalimbali za mitindo ya nguo. Ikiwa jibu ni ndio, sina shaka na uvaaji wako na wa mitindo ya kiafrika. Je umewahi kujaribu mtindo wa nguva?
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Picha ya nguva iliyokataliwa na Facebook
Mwanasiasa mmoja nchini Denmark alishangaa baada ya kuzuiwa kupakia picha ya sanamu ya nguva mtandaoni kwenye Facebook.
10 years ago
GPL
UMEWAHI KULA ADA?
MAMBOZ maanko? Nina matumaini kuwa hali zenu ni njema na mnaendelea vizuri na likizo. Zamani nilipokuwa kama nyinyi, nilikuwa naamini wakati wa likizo ni full kuzurura, yaani mapumziko kwelikweli, hakuna kugusa tena kitu kinaitwa daftari wala kitabu. Kumbe nilibugi meeeen, kwa sababu huu ndiyo wakati mzuri sasa wa kujisomea kwa utulivu.
Sisi enzi zile tuko shule, walimu wetu walitupima kwa test kila wakati tulipofungua....
10 years ago
BBCSwahili30 Jun
Umewahi kula konokono?
Mfanyabiashara mmoja nchini Kenya ameanzisha kampeni kali ya kufuga konokono Afrika Mashariki
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Je, umewahi kula mishikaki ya chura?
Mishikaki ya chura ni mitamu kuliko ya samaki au nyama ya ng'ombe? Wananchi wengi wa Nigeria hawashawishiki kuila
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Je umewahi kuona nyani na simba pamoja?
Afisa mmoja wa utalii nchini Afriika Kusini alifanikiwa kupata picha isio ya kawaida ya nyani akimbeba mwana wa simba katika mbuga ya kitaifa ya wanyamapori ya Kruger Afrika Kusini
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Umewahi kusoma vitabu na watoto wako?
KUANZIA Novemba 24 hadi 29 mwaka huu, baadhi yetu ambao tunaamini katika kuwapa nafasi watoto wetu ya kujiandaa na kujijenga kiakili na kifikra kabla ya kuanza shule na wakati wa...
10 years ago
Mwananchi09 Jun
UCHAMBUZI: Umewahi kumuuliza mtoto wako maswali haya?
>Umewahi kumuuliza mtoto wako maswali haya? Unataka kuwa nani au unataka kufanya kazi gani maishani?
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Je, umewahi kufikiria kwa nini mtu huweza kuamua kujiua?
Kuna msomaji wa makala zangu za Jitambue alinitafuta akikabiliwa na tatizo lisilo la kawaida. Ndugu yake alitaka kujiua, hivyo aliniomba nimshauri amweleze nini cha kufanya ili kumpatia nasaha aache wazo lake baya la kutaka kujitoa roho.
10 years ago
Bongo522 Oct
Umewahi kutoswa na msichana kisa kipato? Soma mashabiki wa AY wanavyosimulia, utacheka, utalia
“Umewahi kutoswa au kukataliwa na mrembo kwasababu huna kipato kizuri? Nataka kusikia story yako leo,” ni swali ambalo AY amewauliza mashabiki wake kupitia Facebook na simulizi zilizotolewa zitakuchekesha na zingine kukuliza. Hizi ni baadhi: (Note: Post zimechukuliwa kama zilivyoandikwa na mashabiki) Dissy Brizy Hiyo mwaka jana mzee mfukoni sina kitu halafu demu anataka mambo mazuri. […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania