Umewahi kutoswa na msichana kisa kipato? Soma mashabiki wa AY wanavyosimulia, utacheka, utalia
“Umewahi kutoswa au kukataliwa na mrembo kwasababu huna kipato kizuri? Nataka kusikia story yako leo,” ni swali ambalo AY amewauliza mashabiki wake kupitia Facebook na simulizi zilizotolewa zitakuchekesha na zingine kukuliza. Hizi ni baadhi: (Note: Post zimechukuliwa kama zilivyoandikwa na mashabiki) Dissy Brizy Hiyo mwaka jana mzee mfukoni sina kitu halafu demu anataka mambo mazuri. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Jose Mourinho ashambuliwa na mashabiki, kisa Terry
![jose-mourinho_epa_2587091k](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/jose-mourinho_epa_2587091k-300x187.jpg)
MASHABIKI wa klabu ya Chelsea wamemtupia lawama kocha wa timu hiyo, Jose Mourinho, baada ya kumuweka benchi beki wake, John Terry katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Porto.
Mchezo huo ambao ulipigwa kwenye Uwanja wa Dragao nchini Ureno, Chelsea ilikubali kichapo cha mabao 2-1, huku beki wake akiachwa benchi na kocha huyo.
Kitendo hicho kiliwafanya mashabiki watume ujumbe mbalimbali katika klabu hiyo wa kudai kwamba wanamtaka beki huyo kupewa nafasi ya kuanza kama...
10 years ago
CloudsFM17 Feb
Mashabiki wamemjia juu Aunty Ezekiel,kisa pombe, kuvaa nguo za kubana ambazo hazistahili kwa mjamzito.
stakishobo19 Aunt my kama hako ni kabia achana nacho bwana usitusumbulie kababy ketu jamani vumilia kwanza
kiria_lazaro Umshka pombe, inamadhara kwa mtto in u fucking stomach
mariousmiley Anti naona unatumia...
10 years ago
Bongo519 Sep
Picha: Omarion akatiza mitaa na mwanae wa mwezi mmoja, utacheka alivyombeba
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Mabaharia walalamikia ‘kutoswa’ katika ajira
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Mabaharia walia kutoswa miradi ya gesi
UMOJA wa mabaharia nchini wamesikitishwa na kitendo cha serikali kushindwa kuwasimamia kupata ajira ya uchorongaji wa gesi katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Wamesema tangu kazi hiyo ianze, hakuna baharia...
10 years ago
Vijimambo12 Jul
Sentensi 2 Chungu Za Makamba Baada Ya Kutoswa 5 Bora
![](https://pbs.twimg.com/profile_images/607198746057834496/UCMjCEkL.jpg)
Nawashukuru wote mliotuunga mkono. Mlitupa nguvu. Nawashukuru pia mliotupinga na kutukosoa. Mlitusaidia kujitazama na kujirekebisha.Hatujapoteza uchaguzi kwasababu mimi na vijana niliokuwa tumejifunza mengi na tumejenga undugu. Tumepambana na matakwa ya Mungu yametimia.
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Watuhumiwa kuvunja viti Taifa walia kutoswa Simba
WAKATI kesi ya kufanya fujo na kuvunja viti vya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mechi kati ya Simba na Kagera Sugar ikitarajiwa kuanza kusikilizwa Januari 27 katika...
10 years ago
BBCSwahili30 Jun
Umewahi kula konokono?