Picha: Omarion akatiza mitaa na mwanae wa mwezi mmoja, utacheka alivyombeba
Omarion ni baba mwenye furaha na ndio maana hivi karibuni alionekana akitabasamu tu akiwa amembeba mwanae wa kiume mwenye umri wa mwezi mmoja, Megaa Omari Grandberry. Muimbaji huyo wa zamani wa kundi la B2K, alikuwa usiku akiwa na mama wa mwanaye, Apryl Jones huko Hollywood. Tatizo ni jinsi alivyombeba sasa!!
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Mar
Chamberlain kukaa nje mwezi mmoja
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Mwezi mmoja wa uongozi wa Magufuli Tanzania
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-b0oGfXHtjzM/Vo0WkstDS2I/AAAAAAAIQ2Y/bvLFiaMwHMI/s72-c/3_28_o.jpg)
TRA YAONGEZA MWEZI MMOJA USAJILI WA PIKIPIKI
![](http://2.bp.blogspot.com/-b0oGfXHtjzM/Vo0WkstDS2I/AAAAAAAIQ2Y/bvLFiaMwHMI/s320/3_28_o.jpg)
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) imesema imeongeza muda kwa usajili wa vyombo vya usafiri vya Pikipiki za magurudumu mawili na matatu mpaka Februari Mosi mwaka 2016.
Hayo yamesemwa leo na Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Alphayo Kidata alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari katika kikao chake cha kutoa taarifa kwa umma juu ya ukusanyaji wa kodi, Kaimu Kamishna Mkuu amesema wameamua kuongeza muda wa zoezi la usajili wa pikipiki ili kuiwapa nafasi wale...
10 years ago
Dewji Blog01 Dec
Mwakyembe apigwa mwezi mmoja kutoa majibu
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa mjini Mtwara katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mashujaa mjini humo akihitimisha ziara yake ya siku 16 aliyoifanya katika mikoa ya Lindi na Mtwara akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali kwa kushirikiana na wananchi wenyewe na kuhimiza uhai wa chama cha Mapinduzi CCM.
Katika ziara hiyo Katibu mkuu huyo aliongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,...
10 years ago
BBCSwahili03 Feb
Mwezi mmoja toka mauaji ya Baga Nigeria
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/2SyIV2fY7V0/default.jpg)
11 years ago
GPLKICHANGA KILICHOOPOLEWA CHOONI TANGA CHATIMIZA MWEZI MMOJA