Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMISSETA : Mashariki, Dar zatinga nusu fainali

Timu za Kanda ya Mashariki na Dar es Salaam zimekuwa za kwanza kutinga nusu fainali ya netiboli kwenye mashindano ya Umoja wa Michezo na Sanaa kwa Shule za Sekondari Tanzania (Umisseta) yanayoendelea mjini hapa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Timu 4 zatinga nusu fainali,Ulaya

Timu nne zimetinga hatua ya nusu fainali katika ligi ya mabingwa barani Ulaya iliyokamilika hapo jana.

 

10 years ago

Michuzi

IKULU ,HAZINA, MAHAKAMA ZATINGA NUSU FAINALI SHIMIWI

Na Happiness Shayo,Morogoro
Timu za kamba za Ikulu, Hazina na Mahakama zimeingia hatua ya nusu fainali kwa kishindo baada ya kuzivuta timu pinzani katika michezo ya SHIMIWI iliyofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro leo.
Michezo hiyo ya kusisimua iliyovuta mashabiki wengi ilianza majira ya saa moja asubuhi ambapo timu ya kamba ya wanawake ya Ikulu iliivuta timu ya kamba ya wanawake ya Kilimo na kuibuka mshindi kwa kuvuta mivuto yote miwili.
Mchezo wa pili ulikuwa kati ya timu ya kamba ya...

 

10 years ago

GPL

BAYERN MUNICH, BARCELONA ZATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia ushindi wao dhidi FC Porto jana. Neymar (juu) akishangilia na Mbrazil mwenzake Dani Alves baada ya kufunga bao la pili jana. Robert Lewandowski akiifungia Bayern bao la tatu dakika ya 27.…

 

10 years ago

Mwananchi

Majimbo ya Siha, Same Magharibi na Same Mashariki ni nusu kwa nusu

Jimbo la Siha Siha ni moja ya wilaya zilizoko katika mkoa wa Kilimanjaro na ilianzishwa mwaka 2005 baada ya kuigawa Wilaya ya Hai. Jimbo la Siha lina jumla ya kata 12 na vijiji 39 na lina zaidi ya watu 150,000.

 

10 years ago

BBCSwahili

Dnipro-Sevilla zatinga fainali

Nusu fainali ya pili ya Europa ligi, usiku wa kuamkia leo Dnipopetrovsk ilipomenyana na Napoli huku Fiorentina ikiialika Sevilla

 

11 years ago

Mwananchi

Nigeria, Mali zatinga robo fainali

Timu za taifa za Nigeria na Mali jana zilitinga hatua ya robo fainali ya Fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN baada ya kuzichapa Afrika Kusini na Msumbiji katika fainali hizo zinazoendelea huko Afrika Kusini.

 

10 years ago

GPL

DRC, TUNISIA ZATINGA ROBO FAINALI AFCON 2015

Zambia wakikwaana na Cape Verde leo. TIMU za Tunisia na DR Congo zimefanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali Afcon 2015 kutoka Kundi B huku Cape Verde na Zambia zikiaga mashindano hayo yanayoendelea huko Equitorial Guinea. DRC wakimenyana na Tunisia. Timu hizo zimetinga hatua hiyo baada ya kutoka sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wao wa mwisho uliopigwa leo huku Zambia na Cape Verde wakitoka suluhu na kuondolewa. Zambia na… ...

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIIL 2014: Costa Rica, Uholanzi zatinga robo fainali

>Costa Rica na Uholanzi zimetinga hatua ya robo fainali ya Fainali za Kombe la Dunia 2014 baada ya kushinda mechi zao za jana za hatua ya 16 bora nchini Brazil.

 

10 years ago

GPL

MALI, IVORY COAST NAZO ZATINGA ROBO FAINALI AFCON

Mali wakipambana na Guinea. TIMU za Mali na Ivory Coast nazo zimefanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Mataifa Afrika 2015 kutoka Kundi D huku Guinea na Cameroon wakiyaaga mashindano hayo. Ivory Coast wakipongezana kwa ushindi dhidi ya Cameroon usiku huu. Mali wamesonga mbele baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Guinea huku Ivory Coast wakiwachapa Cameroon bao 1-0. Kwa matokeo hayo Mali na Ivory Coast… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani