Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umuhimu wa maziwa ya mama kwa mtoto

Maziwa ya mama yana viinilishe muhimu vinavyomsaidia mtoto kukabiliana kwa ufanisi mkubwa  maambukizi ya vimelea vinavyosababisha magonjwa. Watoto wanaonyonya maziwa ya mama pia hupunguza hatari ya kupata maradhi ya pumu na magonjwa ya ngozi yatokanayo na mzio.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SHEIKH KIPOOZEO AIKUMBUSHA JAMII KUWA NA HOFU YA MUNGU, AGUSIA UMUHIMU WA MAZIWA YA MAMA KULINDA AFYA YA MTOTO


Na Khadija Seif, Michuzi tv

SHEIKH Hillal Shaweji maarufu kwa jina la Sheikh Kipozeo amewaomba wazazi na walezi kuwa na hofu ya Mungu kwa lengo la kuimarisha na kuendesha familia zao katika misingi ya kiucha Mungu.

Akizungumza jijini Dar es Salaam Sheikh Kipozeo amesema wazazi na walezi wakiwa na misingi ya dini na hofu ya Mungu familia huwa na amani kubwa n kuishi maisha yenye furaha na kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Sheikh Kipoozeo amefafanu wakati nwingine watoto wanakumbwa na mikasa mingi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Kutonyonyesha mtoto maziwa ya mama miezi 6 ni kumkatili

Agosti mosi hadi saba kila mwaka, Tanzania inaungana na nchi nyingine ulimwenguni kuadhimisha wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama. Ni wiki iliyoanza kuadhimishwa tangu 1992.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ajikimu kwa kuuza maziwa ya mama

Rebecca Hudson, kutoka mjini Manchester,Uingereza amepata zaidi ya pauni 3,000 kwa kuuza maziwa ya mama kupitia Internet.

 

5 years ago

Michuzi

DC KATAMBI, BODI YA MAZIWA WAGAWA MAZIWA KWA WATU WENYE UHITAJI JIJINI DODOMA

Charles James, Michuzi TV

WATANZANIA wametakiwa kujiwekea Utamaduni wa kunywa maziwa kwa wingi na siyo kusubiri mpaka waandikiwe na Daktari kwani unywaji wa maziwa hujenga afya.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi leo wakati wa ziara yake ya kugawa maziwa kwa watu wenye mahitaji kwa kushirikiana na Bodi ya Maziwa ambapo wamegawa maziwa Lita 1650 yenye thamani ya Sh Milioni Nane.

DC Katambi amesema Ofisi yake itaendelea kuhamasisha unywaji wa maziwa pamoja na kutoa...

 

11 years ago

Michuzi

MAZIWA YA ASAS DAIRIES LTD NDIO MAZIWA BORA TANZANIA YASHINDA TUZO YA UBORA KWA MIAKA MIWILI MFULULIZO ,MAKAMPUNI 30 YAACHWA MBALI

Afisa masoko wa kampuni ya maziwa ya Asas  Dairies Ltd ya mkoani Iringa Bw Jimy Kiwelu akishangilia baada ya  kampuni yake  kuwa ndio kampuni  bora ya uzalishaji maziwa nchini Tanzania katika mashindano yaliyofanyika mkoani mara Watoto  wa mkoa wa Mara  wakishangaa ubora wa maziwa ya Asas kutoka Iringa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani kulia na  viongozi  wengine wakifuatilia maonyesho hayo huku  wakifurahia ubora wa maziwa ya Asas Dairies Ltd.
Picha zaidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani