Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNATAKA KUJIUNGA NA FREEMASONRY?

Katika matoleo zaidi ya kumi kwenye safu hii, nilieleza kwa kina historia ya Freemasonry ambayo ni jamii ya siri inayofanya mambo yake kwa siri huku ikihusishwa na mambo kibao ikiwemo imani ya kishetani na upatikanaji wa utajiri wa haraka.  Wiki iliyopita niliishia pale nilipokuwa nikizungumzia alama au nembo za Freemasons (wanachama). Sikuzungumzia ishara bali nilizungumzia sehemu ndogo mno ya alama zao. Nimelazimika kuruka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAKONDA AWAHIMIZA WASANII KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA: Awataka kutumia taaluma yao kuhamasisha wengine kujiunga

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amesema wakati sasa umefika kwa wasanii kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, badala ya kuendelea kuchangishana fedha za matibabu kila wanapougua.
Amesema kutokana na kupanda kwa gharama za maisha hivi sasa zikiwemo za matibabu, wasaani wana kila sababu ya kuona umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili wanapougua watibiwe kwa kutumia kadi badala ya kuhangaika kutafuta fedha taslimu.
Makonda alikuwa akizungumza wakati wa ufunguzi...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WA MUHEZA WAHAMASIKA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII, ZAIDI YA KAYA 65 ZENYE WANACHAMA 390 WAHAMASIKA NA KUJIUNGA PAPO HAPO

  Mkuu wa wilaya ya Muheza Subira Mgalu kushoto akipokea risiti ya malipo mara baada ya kujiunga kuwa mwanachama wa mfuko wa afya ya Jamii (CHF) leo wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo iliyofanyika kwenye Kata ya Potwe wilayani humo anayemkabidhi risiti hiyo ni Afisa Tabibu wa Zahanati ya Potwe wilayani humo Dr.Samweli Mudhihiri ambapo zaidi ya kaya 65 zenye wanachama 390 walihamasika na kujiunga papo hapo. PICHA ZOTE NA OSCAR ASSENGA,TANGA.  Picha namba moja ni  Mkuu wa wilaya ya...

 

10 years ago

GPL

UNAMPENDA, UNATAKA NDOA

Ni wiki nyingine ambapo Mwenyezi Mungu ametujaalia kukutana katika busati letu la mahaba kujadiliana mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi. Ni matumaini yangu kuwa mada ya wiki iliyopita ilikuingia vizuri na sasa unayafanyia kazi yale tuliyojadiliana. Karibu tena tujadiliane kuhusu mada ya leo kama inavyojieleza; unampenda na unataka kumuoa lakini hujui pa kuanzia, unapaswa kufanya nini? Maendeleo ya teknolojia...

 

10 years ago

Mwananchi

Unataka kipigo! Chezesha polisi

Matukio ya waamuzi wa soka kupigwa katika michezo ya Ligi Daraja la Kwanza yamezidi kuongezeka katika siku za karibuni, huku kanuni zinazosimamia mchezo wa soka nchini zikiweka bayana adhabu zinazostahili kutolewa.

 

10 years ago

GPL

UNATAKA ANAYEKUFAA, WEWE UNAMFAA?

NiJumanne nyingine tunakutana tena katika safu yetu ya Maisha na Mapenzi, vitu vinavyochukua sehemu kubwa ya maisha yetu ya kila siku.Leo ninazungumza nanyi kuhusu kutamani au kuwa na mtu anayekufaa katika uhusiano wa kimapenzi; je, wewe mwenyewe umejitathmini kama utamfaa? Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtu maishani mwake anatamani kuwa na mwenza mzuri kitabia na kimuonekano ambaye atamfaa kimapenzi kwa shida na raha, katika...

 

10 years ago

GPL

UNATAKA KUREJESHA PENZI LILILOKUFA?

ASALAMALEIKUM ndugu zangu Waislamu ambao mpo ndani ya mfungu wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Bila shaka shaka swaumu inapanda na ishallah Mungu atawafanyia wepesi mtaumaliza mwezi huu salama. Nikirudi katika mada yangu ya leo, nazungumza zaidi na wale ambao walikuwa wapenzi lakini kutokana na sababu mbalimbali walifikia hatua ya kutofautiana. Penzi lao likaota mbawa. Wameona sera zao haziendani, wakaamua kuachana. Kila mmoja...

 

11 years ago

GPL

UNATAKA KUMUOA JOHARI? BOFYA HAPA!

Staa mkubwa wa filamu za Kibongo Blandina Changula "Johari" Makala: Sifael Paul
Julai 28, 1983 mkoani Shinyanga, alizaliwa mtoto wa kike ambaye sasa ni staa mkubwa wa filamu za Kibongo. Ni maarufu kwa jina

la kistaa la Johari lakini majina yake kamili ni Blandina Changula.
Kama kawaida yetu huwa tunatoa nafasi kwa staa kusimulia alikopitia hadi akafikia mafanikio aliyonayo ili kutoa chansi kwa …
...

 

11 years ago

Mwananchi

Unataka kula ushibe? Njoo Brazil

Unahitaji juisi katika hoteli au baa yoyote ya Brazil? Unahitaji juisi gani? Ya machungwa? Jibu linakuwa rahisi kwa muuzaji. Anachofanya ni kukata machungwa matatu na kuyakamua kwa mashine mbele ya macho yako kisha anaingiza vipande vya barafu ndani ya glasi na kukukabidhi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Je unataka ndoa yako iwe na mvuto?

Je ungependa kuwa na ndoa thabiti na yenye huba ? Jifunze kugawanya majukumu na mumeo ama mkeo hapo nyumbani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani