Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Undani ajali ya Yanga jana!

Na Richard Bukos, Morogoro
WACHEZAJI na viongozi wa benchi la ufundi la Yanga, jana walikumbwa na dhoruba baada ya basi lao walilokuwa wakitoka nalo mkoani Morogoro kupata ajali eneo la Mikese mkoani hapa. Basi hilo lilipofika maeneo hayo wakati Yanga ikitoka kusuluhu na Mtibwa juzi, lilijikita nje ya barabara na kulalia upande wa kushoto wakati dereva wa basi hilo akijaribu kulikwepa basi moja lililokuwa likitokea mbele yake....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali zaua 4,000 mwaka jana

WATU 4,002 nchini wamefariki dunia katika ajali mbalimbali za barabarani zilizotokea mwaka jana. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohammed Mpinga, alisema jana kuwa  idadi ya vifo hivyo  imeonekana...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA YA AJALI MUSOMA SIKU YA JANA


Basi la Kampuni ya J4 EXPRESS lenye nambari za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Kilari Mkoani Mara likiwa limeumia vibaya sana baada ya kugongana uso kwa uso na Basi lingine la Kampuni ya MWANZA COACH lenye nambari za usajili T 736 AWJ katika eneo la SabaSaba, Mjini Musoma mchana siku ya jana.

Basi la Kampuni ya MWANZA COACH lililokuwa likitokea Musoma kwenda Mwanza linavyoonekana baada ya...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI ILIYOTOKEA KIKATITI JIJINI ARUSHA JANA

Mwili wa mwanamke anayedaiwa kuwa mke wa mmiliki wa hoteli na klabu ya AQ baada ya ajali. Basi la Mrindoko Trans baada ya ajali hiyo.…

 

10 years ago

GPL

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI KILIMANJARO SIKU YA JANA

Muonekano wa basi la Dar Express lenye namba za usajili T640 AXL linalofanya safari zake Kati ya Dar na Rombo baada ya kupata ajali jana jioni eneo la Marangu, Mamba mkoani Kilimanjaro .…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA BASI LA LUHUYE LILILOUA ZAIDI YA WATU 10 JANA MKOANI MWANZA

Basi la abiria la Luhuye Express lenye namba za usajili T 410 AWQ baada ya kuacha njia na kugonga nyumba katika Kijiji cha Yitwimila 'A', wilayani Busega, Mkoa wa Simiyu jana asubuhi. Wananchi wakishuhudia ajali hiyo iliyoua watu zaidi ya 10 na kujeruhi 30.…

 

10 years ago

GPL

YANGA WALIVYOIZIMA JKT RUVU JANA

Baadhi ya wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Kelvin Yondani (wa pili kulia). Jaja (katikati) akipambana na ngome ya JKT…

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZIKO YA WANA CCM WALIOPATA AJALI JANA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja aliyefariki kwa ajali ya gari iliyopinduka huko Mtowapwani Kaskazini jana na kuzikwa leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika swala ya maiti kumswalia Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein aongoza mamia ya waombolezaji kwenye Maziko ya WANA CCM Waliopata ajali jana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika swala ya maiti kumswalia Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja katika msikiti wa marehemu aliyefariki kwa ajali ya gari iliyopinduka huko Mtowapwani Kaskazini jana.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja aliyefariki kwa ajali...

 

10 years ago

Michuzi

latest updates: MAITI ZAIDI ZAPATIKANA ZIWA TANGANYIKA BAADA YA AJALI YA MITUMBWI YA MAHARUSI JANA

Na Editha Karlo wa Globu ya jamii Kigoma Mpaka sasa jumla ya maiti nne zimeopolewa na kufanya kufikia idadi ya maiti kumi zimepatikana katika ajali ya mitumbwi iliyotokea jana mchana katika kijiji cha Kalalangabo baada ya mitumbwi iliyokuwa imebeba maharusi ndugu jamaa na wapambe kupigwa wimbi na kuzama.  Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Mstaafu Issa Machibya ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya Mkoa amesema kuwa bado idadi maiti zilipo kwenye maji ni kubwa ambazo bado...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani