Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Unene kupindukia katika nchi zinazostawi

Kunenepa kupindukia ni tatizo ambalo sasa linatishia zaidi maisha ya wengi katika mataifa yanayostawi duniani kuliko mataifa tajiri ambako mambo yana afadhali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JINSI YA KUPUNGUZA UNENE WA KUPINDUKIA-2

Tulieleza jinsi watu wenye vitambi au wanene wanavyopata shida na maradhi mbalimbali na wiki iliyopita tulieleza jinsi ya kupunguza unene, leo tunaendelea kuelekeza. Anza kukimbia kwa kasi ndogo halafu ongeza kasi. Au unaweza kukimbia kwa kasi ya juu dakika 5 na kisha kupunguza hadi 3. Hii inaitwa interval training, yenye lengo la kukupa uwezo wa kufikisha dakika 30, kuchoma mafuta mwilini na kupunguza mapigo ya moyo ili yarudi...

 

11 years ago

GPL

JINSI YA KUPUNGUZA UNENE WA KUPINDUKIA

UNENE wa kupindukia ni ugonjwa na wasomaji wengi wametaka tuwasaidie kuwaeleza njia ya kupunguza au kuondoa tatizo hilo. Kuna njia nyingi sana ambazo hutumiwa na watu ili kupunguza mwili na tumbo, lakini baadhi huwa ngumu sana au zinakuwa haziendani na mazingira wanayoishi, hivyo watu wengi hushindwa njiani. Zipo njia za kutumia madawa au kahawa, chai ya kupunguza uzito na vinginevyo ambazo huwa si za kudumu na hata baadhi ya...

 

11 years ago

GPL

KUPUNGUZA UNENE WA KUPINDUKIA KWA UPASUAJI

Na Dk Mandai A. Simu 0717961795, 0754391743 WIKI iliyopita nilieleza kuhusu kalori mwilini isivyotakiwa kuzidi.
Suala muhimu  la kujadili leo ili kupunguza unene wa kupindukia au obesity tulishajadili hasa kuhusu kufanya mazoezi kila siku kwa dakika 30 na tukashauri kuwa wale wenye uzito kupita kiasi wanapaswa kushauriwa na madaktari kabla ya kuanza mazoezi. Leo tuangazie njia nyingine ya kupunguza unene tukianza na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Hoja ya unene katika ndoa

Je ni kweli wanawake walio katika ndoa kuwa wanene kupita kiasi ndio sababu ya waume zao kuwa na mipango ya kando?

 

9 years ago

Bongo5

Website maarufu ya Marekani Buzzfeed yaitaja Tanzania nchi ya 8 katika nchi 20 zinazovutia duniani

enhanced-7309-1430834722-9

Website maarufu ya Marekani, Buzzfeed imeitaja Tanzania kuwa ni nchi ya nane katika orodha yake ya nchi 20 zinazovutia zaidi duniani.

enhanced-7309-1430834722-9

Afrika Kusini imekata nafasi ya kwanza kwenye orodha hiyo.

Kuhusu Tanzania website hiyo imeandika:

Land of the Serengeti, Lake Victoria, Lake Natron and Lake Manyara, the Ngorongoro Crater, Zanzibar, the Spice Islands, Dar Es Salaam and a million more, Tanzania is almost beyond belief.

Mount Kilimanjaro rises over 3 miles above the surrounding plains, making...

 

10 years ago

Mtanzania

Wizi wa kupindukia

zitto ATAARIFA ya mwaka ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), ya hesabu zilizokaguliwa za Serikali Kuu na mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2013, imebua wizi wa kutisha wa fedha za umma uliofanywa na taasisi hizo.
Hayo yalibainika jana wakati Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe, alipokuwa akiwasilisha ripoti ya kamati hiyo, ambapo alisema katika ripoti za ukaguzi kwa Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL), imebainika kuwa ililipa mabilioni ya fedha kwa ajili ya...

 

11 years ago

GPL

TIBA YA MTU MNENE KUPINDUKIA

Na Dk Mandai A. Simu 0717961795, 0754391743 WIKI iliyopita nilieleza magonjwa yanayowapata watu wanene kupindukia leo nieleze tiba inayofaa kwa wenye tatizo hilo. Sasa tuelezee ni namna gani tunaweza kutibu au kupunguza unene uliopita kiasi, swali ambalo ninajua linaulizwa na wengi. Tunapaswa kujua kuwa, tiba ya tatizo hili kwanza kabisa ni mhusika kujitambua ya kwamba ana tatizo, kulikubali na kuwa tayari kupunguza uzito....

 

9 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MATHIAS CHIKAWE (Mb) ALIYOTOA KATIKA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 21 OKTOBA, 2015 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA WIZARA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Ndugu Waandishi wa Habari, Mabibi na Mabwana,Kama mnavyojua tarehe 25 ya mwezi huu wa Oktoba mwaka 2015 siku ya Jumapili katika nchi yetu kutafanyika Uchaguzi Mkuu kwa ajili ya kuchagua rais, wabunge na madiwani zoezi ambalo litawashirikisha watanzania wote...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YANAYOENDELEA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR

Afisa Tawala, Idara ya Wakimbizi, Jeremia Chuma akitoa maelezo kwa Kamishna wa Uhamiaji (Sheria), Said Kamugisha, kuhusu huduma zinazotolewa kwa wakimbizi nchini, wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja,Dar es Salaam. Kamishna wa Uhamiaji (Sheria), Said Kamugisha , akisaini kitabu alipowasili katika banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi kushiriki katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani