Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN:Itachukua mda mrefu kuangamiza Ebola

Kiongozi wa ujumbe wa ebola katika shirika la Umoja wa Mataifa amesema kuwa harakati za kukabiliana na ebola hazijafanikiwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

WHO:Itachukua mda kukabili Ebola

Shirika la afya duniani limeonya kuwa ueneeaji wa ugonjwa wa Ebola Magharibi mwa Afrika utachukua miezi kadhaa kuudhibiti

 

10 years ago

BBCSwahili

Liberia yakaribia kuangamiza Ebola

Liberia ambayo iliathiriwa vibaya na ugonjwa wa Ebola inasema kwa sasa ina visa vitano tu vilivyothibitishwa vya ugonjwa huo.

 

10 years ago

BBCSwahili

UN yatetea juhudi za kuangamiza Ebola

Mratibu wa Umoja wa mataifa kuhusu ugonjwa wa ebola Davis Nabarro ametetea juhudi za kimataifa za kupambana na ugonjwa huo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Itachukua miezi sita kudhibiti Ebola

Mkuu wa shirika la Medicins Sans Frontieres, amesema kuwa itachukua miezi sita kuweza kudhibiti janga la Ebola Afrika Magharibi.

 

11 years ago

GPL

SUGU: CHADEMA ITACHUKUA NCHI

Mbunge wa Mbeya Mjini Chadema, Joseph Mbilinyi 'Sugu'. Na Ojuku Abraham
UCHAGUZI mkuu wa Rais, wabunge na madiwani chini ya mfumo wa vyama vingi nchini, utafanyika kwa mara ya tano mwakani, huku kwa mara ya kwanza, chama tawala, CCM kikihofu kukutana na upinzani mkali, pengine kuliko wakati mwingine wowote. Hofu hii, haitokani na kufanya kwake vibaya katika utekelezaji wa Ilani yake ya Uchaguzi iliyoipatia ushindi uchaguzi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama aapa kuangamiza Islamic State

Rais Barack Obama amesema Marekani itashambulia kundi la Islamic state kote nchini Syria na Iraq ili kuwanyima makao ya kujificha.

 

10 years ago

BBCSwahili

V Gaal:Itachukua miaka 3 kuijenga Man U

Mkufunzi wa timu ya Man United Louis Van Gaal amesema kuwa huenda ikachukua miaka mitatu kwa kilabu hiyo kuafikia kiwango chake.

 

10 years ago

Mwananchi

BG: Itachukua muda kuzalisha gesi nchini

Shirika la Gesi la Uingereza (BG) limesema itachukua muda kuanza kuzalisha gesi kwa matumizi ya ndani na kuiuza nje ya nchi kutokana na rasilimali hiyo kugundulika katika maeneo yenye changamoto lukuki.

 

11 years ago

BBCSwahili

Itachukua mwaka kuitafuta ndege ya Malaysia

Maafisa wanaoongoza juhudi za kuitafuta ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea wamesema kuwa shughuli ya kuitafuta huenda ikachukua hadi mwaka mmoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani