SUGU: CHADEMA ITACHUKUA NCHI
Mbunge wa Mbeya Mjini Chadema, Joseph Mbilinyi 'Sugu'. Na Ojuku Abraham UCHAGUZI mkuu wa Rais, wabunge na madiwani chini ya mfumo wa vyama vingi nchini, utafanyika kwa mara ya tano mwakani, huku kwa mara ya kwanza, chama tawala, CCM kikihofu kukutana na upinzani mkali, pengine kuliko wakati mwingine wowote. Hofu hii, haitokani na kufanya kwake vibaya katika utekelezaji wa Ilani yake ya Uchaguzi iliyoipatia ushindi uchaguzi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Chadema kutikisa nchi; Helikopta tatu kurushwa nchi nzima
10 years ago
Vijimambo17 Dec
RUSHWA NI TATIZO SUGU KATIKA NCHI YETU, NANI ATAWEZA KUIONDOA?
KATIKA kumuenzi Mungu, kila mtu ambaye leo afya yake ni nzuri hana budi kumshukuru na kumtukuza huku akimuomba awaponye wale wote walio katika magonjwa.
Baada ya kusema hayo nianze kwa kusema kuwa katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi, baadhi ya matawi wanachama wake wamelalamikia rushwa kwamba waliwapigia kura watu waliokuwa wanapenda kuwaongoza lakini kura zao zikachakachuliwa.
Nilisimuliwa kuhusu tawi moja eti waliochaguliwa waliiba kura na matokeo yakatajwa...
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Profesa Jay, Sugu wafunika uzinduzi CHADEMA Mtandao
MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, juzi uusiku alikonga nyoyo za waalikwa na Wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika uzinduzi wa ‘CHADEMA...
10 years ago
VijimamboALIEKUWA MCHUMBA WA MH SUGU AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA MHESHIMIWA SUGU HAMJALI MTOTO WALIOZAA
“Imeniathiri sana hata hailezeki,” alisema. “Naona hata nikieleza siwezi kumaliza. Imeniathiri kiasi kikubwa sana, kwa sababu na mwaka mzima kama nikipumzika kulia ni siku moja.”“Yaani inauma sana mtu ambaye ulikuwa unamuona...
10 years ago
BBCSwahili23 Aug
WHO:Itachukua mda kukabili Ebola
11 years ago
BBCSwahili02 May
Itachukua mwaka kuitafuta ndege ya Malaysia
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Itachukua miezi sita kudhibiti Ebola
10 years ago
BBCSwahili02 Jan
UN:Itachukua mda mrefu kuangamiza Ebola
10 years ago
Mwananchi29 Aug
BG: Itachukua muda kuzalisha gesi nchini