UNUNUZI TIKETI MITANDAONI KUDHIBITI CORONA
KATIKA kukabiliana na mambukizi ya virusi vya Corona katika vituo vya mabasi serikali imesema mfumo wa ukatishaji tiketi kwa njia ya mtandao utaanza hivi karibuni kwa mabasi yote yanayofanya safari zake mikoani.
Mbali na mabasi hayo, daladala pamoja na mabasi ya mwendokasi yanatarajiwa (Data center) ambapo mfumo huo utarahisisha huduma na kuondoa adha ya wapiga debe vituoni.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano , Mhandishi Isack Kamwele, wakati wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Ununuzi tiketi mechi Ligi Kuu kudhibitiwa
ZIKISALIA wiki chache kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu ya soka Tanzania bara, Benki ya CRDB imesema chini ya mfumo mpya wa elektroniki, idadi ya mwisho ya kununua tiketi kwa...
5 years ago
BBCSwahili14 Apr
Virusi vya corona: Wakazi 'wanavyotishwa' kudhibiti corona Indonesia
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Virusi vya Corona: Je, marufuku ya kutotoka nje inaweza kudhibiti Corona Afrika?
5 years ago
BBCSwahili24 Apr
Virusi vya Corona: Uganda yatazamia kudhibiti corona kwa kuwazuia madereva wa Kenya, Tanzania
5 years ago
BBCSwahili20 May
Virusi vya Corona: Ushahidi wa awali waonesha jinsi inavyoweza kufundisha mfumo wa kinga kudhibiti corona
5 years ago
BBCSwahili18 May
Picha kabla ya corona zasambaa mitandaoni
5 years ago
BBCSwahili06 Jun
Virusi vya corona; Wakenya wajirusha mitandaoni kuonyesha matarajio yao
5 years ago
BBCSwahili29 May
Virusi vya corona: Dhana potofu mitandaoni zina athari gani kwa watumiaji wa mitandao
5 years ago
MichuziSERIKALI IMEFANIKIWA KUDHIBITI CORONA -WAZIRI UMMY
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) Ummy Mwalimu kushoto akikata utepe wakati wa uzinduzi wa makabidhiano ya vifaa vya Kunawia Mikono kudhibiti ugonjwa wa Covid 19 Mkoa wa Tanga kulia ni Country Director Water Mission Benjamini Filskov .
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) Ummy Mwalimu akisisitiza jambo kwa Mganga Mfawidhi wa kituo cha Afya Ngamiani Angelina...