Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


“Unyama kwa albino kuathiri amani ya nchi”

TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imeonya kuwa unyama unaofanywa kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), yatasababisha Tanzania kufutika kwenye ramani ya visiwa vya amani duniani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Sumaye: Uvunjifu wa amani ni hatari kwa nchi

JAMII imehadharishwa dhidi ya uvunjifu wa amani kuwa ni hatari kwa maendeleo ya uchumi wa nchi na watu kwa ujumla. Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye alisema hali ya utulivu ni chachu katika kukuza uchumi.

 

9 years ago

StarTV

Ukosefu wa ajira  kwa vijana watishia amani ya nchi

Waziri wa ulinzi na Jeshi la kujenga uchumi Dr Husein Ali Mwinyi  amesema miongoni mwa matatizo makubwa yanayoikabili nchi ni ukosefu wa ajira kwa vijana jambo ambalo linahitaji mikakati imara na mipango thabiti ya ushirikiano itakayopelekea kuwanusuru vijana kujiingiza katika vitendo viovu kwa kuwajengea misingi ya ajira.

Anasema kuzisaidia jumuiya za kiraia zenye malengo ya kuwakusanya vijana na kuwapatia stadi za kiuchumi na ajira ni hatua muhimu kwa viongozi na wadau wengine kuwajibika...

 

10 years ago

Dewji Blog

9 years ago

StarTV

Sekta binafsi Yalilia Uchaguzi wa Amani kwa kuzingatia sheria za nchi

Taasisi ya Sekta binafsi imewasisitiza wananchi kuzingatia sheria za uchaguzi zilizowekwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ZEC ili uchaguzi ufanyike kwa amani na kuepuka kuingia kwenye machafuko ya kisiasa.

Mkurugenzi wa Sekta Binafsi Godfrey Simbeye amesema mbali na sababu nyingine za kiuchumi amani iliyopo Tanzania ndiyo imechangia kwa kiasi kikubwa kuvutia wawekezaji na kukua kwa uchumi wa nchi mpaka kufikia asilimia Saba.

Simbeye amesema baadhi ya nchi za...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI NA KUWAPONGEZA KWA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU KWA AMANI NA UTULIVU

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, akizungumza na Maafisa wa Jeshi la Polisi, wakati wa mkutano wa Kujitambulisha na kufahamiana na Watendaji wakuu na Maafisa wa Jeshi la Polisi uliofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake, Mngodo alilipongeza jeshi hilo kwa kusimamia Uchaguzi Mkuu kwa amani na utulivu. Kulia kwa Katibu Mkuu ni Inspekta Jenerali wa Jeshi hilo (IGP), Ernest Mangu. Inspekta Jenerali wa Jeshi la...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN WA KUIMARISHA MASUALA YA USHIRIKIANO KATIKA AMANI, USALAMA NA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA ZANZIBAR

Vijana wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano huo kulia Ali Hamad Suleiman na Rukaiya Rashid Kombo. uliofanyika katika ukumbi wac hoteli ya Zanzibar Beach Resorty Mazizini Zanzibar na kufunguliwa na Balozi Ali Ali Iddi kwa niaba ra Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Viongozi wa meza kuu wakisimama wakati wa kuimbwa kwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliowashirikisha Marais Wastaafu, Viongozi wa Dini na Vijana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kufungwa kwa huduma kuathiri Wasomali

Ripoti mpya inasema kuwa Wasomali milioni 3 wanaotegemea kuhamisha fedha kutoka ng'ambo wako katika hatari ya kukabiliwa na njaa

 

11 years ago

Habarileo

Polisi 8 matumbo moto kwa unyama

ASKARI Polisi saba wa kiume na mmoja wa kike, wanakabiliwa na tuhuma za kumtesa mahabusu mwanamke kwa kumvua nguo na kumwingizia chupa ya bia katika sehemu za siri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani