Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uoga wangu unaniponza jukwaani – Linah

Linah

Ijumaa hii, Linah alipanda kwenye jukwaa moja na wasanii wa Nigeria wakiwemo M.I, Davido, Phyno, Iyanya na Runtown kwenye show ya Soundcity Urban Blast Festival 2015, lakini amegundua kuwa uoga unamponza.

Linah

Akizungumza na Bongo5 akiwa Nigeria, Linah amesema woga unamfanya apoteze kujiamini jukwaani.

“Kwa jinsi nilivyofanya show, naona njia ni nyeupe ya kuwa staa wa kimataifa, kikubwa kujiamini na kujikubali. Uoga huwa unaniangusha, sura ngeni, muziki wangu mgeni, lugha niliyotumia pia labda...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ni wakati wangu shoo za jukwaani

Mwimbaji wa muziki aina ya Zouk nchini Mwasiti Almas amesema kuanzia sasa ataanza kuonekana tena katika shoo za jukwaani, baada ya kukaa pembeni kwa kipindi cha mwaka mmoja.

 

11 years ago

GPL

LINAH SANGA: NACHIZIKA NA UPAJA WANGU

Stori:  Erick Evarist AISEEE! Ndege mnana kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amefunguka kuwa katika mwili wake hakuna kitu anachokipenda kama miguu yake hususan katika sehemu ya upaja. Akizungumza na Global TV Online , Linah alisema kwa kuwa anapenda sehemu hiyo katika mwili wake, ndiyo maana mara nyingi hupendelea kuvaa nguo zinazoonyesha vizuri miguu yake na jinsi ilivyo mizuri....

 

9 years ago

Bongo5

Wasichana wengi wanamtamani mpenzi wangu — Linah

Linah anaamini kuwa wasichana wengi wanamtamani mpenzi wake, Williams Bugeme aka Boss Mutoto. Linah ameiambia E-Newz ya EATV kuwa anachojali yeye ni kuona mambo yake na mpenzi wake huyo kwenda sawa. “Kikubwa ni changamoto ambazo nakutana nazo, kwahiyo mimi namjali mwanaume wangu kwa sababu ana mwonekano mzuri na ni mwanaume kila mwanamke anatamani kuwa naye,” […]

 

11 years ago

GPL

LINAH: WANAUME WAFUPI SIYO ‘UGONGWA’ WANGU

Esterlina Sanga ‘Linah’. Na  Mayasa Mariwata
MWANADADA mwenye sauti tamu kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amesema katika maisha yake kamwe hafikirii kuja kuolewa na mwanaume mfupi kwani siyo sampuli yake. Akipiga stori na paparazi wetu juzikati, Linah alisema atakuwa si mkweli akitamka ana mwanaume mfupi kwani hata jamii itamcheka kwa kuwa hata Amini Mwinyimkuu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tatizo letu ni uoga!

MWANZONI mwa mwezi huu, nilitembelea mkoa wa Tabora na kufanya utafiti wa kihabari juu ya maendeleo ya elimu ya awali katika Wilaya ya Tabora Mjini (Manispaa). Niliyoyaona huko nitawajuza katika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Huu ni uoga au JK anawakomoa CCM?

KAMATI Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemaliza kikako chake muhimu mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete na kuazimia mambo ya kitoto sana wakati huu ambapo...

 

9 years ago

Bongo5

Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego

Chagga-na-Nay

Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.

nay-na-shamsha

Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.

Chagga-na-Nay
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego

Siku...

 

11 years ago

GPL

MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU

STORI: MAKONGORO OGING’
Regina Kihosa (62), mkazi wa Kosolameba mkoani Kigoma amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kufuatia gonjwa la ajabu lililompata huku akidai kwamba limetokana na wachawi ambao wanausumbua mji wake. Regina Kihosa akiteseka kwa gonjwa la ajabu. KWANZA AMEPOTEZA WATOTO WANANE
Mama huyo amelazwa katika hospitali hiyo jengo la Sewahaji,wodi namba 24 akiendelea na matibabu na ana mawazo mengi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta anajitesa kwa uoga, unafiki wake

MCHAKATO wa katiba mpya umekwama kwa sababu kubwa mbili. Mosi ni ukigeugeu wa Rais Jakaya Kikwete na Chama chake Cha Mapinduzi (CCM), pili ni uoga na unafiki wa Mwenyekiti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani