Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta anajitesa kwa uoga, unafiki wake

MCHAKATO wa katiba mpya umekwama kwa sababu kubwa mbili. Mosi ni ukigeugeu wa Rais Jakaya Kikwete na Chama chake Cha Mapinduzi (CCM), pili ni uoga na unafiki wa Mwenyekiti wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CCM watuhumiana kwa unafiki kila kona

Baada ya upepo wa Uchaguzi Mkuu kuanza kutulia, baadhi ya makada wa CCM wameanza kutuhumiana kuwa unafiki na hujuma zilizofanywa na baadhi ya wanancha wa chama hicho zimesababisha kishindwe kufanya vizuri katika baadhi ya maeneo kwa ngazi za udiwani na ubunge.

 

10 years ago

Mwananchi

Fedha zamgonganisha Sitta na katibu wake

Kauli ya Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta kwamba fedha ambazo zitakuwa zimeokolewa katika siku 60 za uendeshaji wa Bunge hilo hazitarejeshwa serikalini, bali zitatafutiwa utaratibu wa namna ya kuzitumia, imemgonganisha na katibu wake, Yahya Khamis Hamad ambaye amesema “hilo ni jambo la ajabu”.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

MBIO ZA URAIS 2015 Sitta awararua wapinzani wake

Awafananisha na wachekeshaji wa mfalmeWasifu wake ukiaminiwa, atajitosa kuwaniaAtuma salamu yuko imara, hatishiwi nyauNa Happiness Mtweve, Dodoma 
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ameibuka na kujibu mapigo dhidi ya watu wanaomkejeli na kumtolea lugha za matusi kuwa ni sawa na wachekeshaji wa mfalme.
Amesema yuko imara na kamwe hawezi kutishwa na kauli za watu wasio na maono na kwamba, ataongoza bunge hilo kwa kasi na viwango vile vile.
Akifungua kikao cha Bunge hilo baada ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Kagoli Fundikira, mama wa Samuel Sitta anayemhurumia mtoto wake

Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa la Tanzania. Zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania wanaishi vijijini wakitegemea kilimo hasa cha jembe la mkono.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tatizo letu ni uoga!

MWANZONI mwa mwezi huu, nilitembelea mkoa wa Tabora na kufanya utafiti wa kihabari juu ya maendeleo ya elimu ya awali katika Wilaya ya Tabora Mjini (Manispaa). Niliyoyaona huko nitawajuza katika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Huu ni uoga au JK anawakomoa CCM?

KAMATI Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemaliza kikako chake muhimu mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete na kuazimia mambo ya kitoto sana wakati huu ambapo...

 

9 years ago

Bongo5

Uoga wangu unaniponza jukwaani – Linah

Linah

Ijumaa hii, Linah alipanda kwenye jukwaa moja na wasanii wa Nigeria wakiwemo M.I, Davido, Phyno, Iyanya na Runtown kwenye show ya Soundcity Urban Blast Festival 2015, lakini amegundua kuwa uoga unamponza.

Linah

Akizungumza na Bongo5 akiwa Nigeria, Linah amesema woga unamfanya apoteze kujiamini jukwaani.

“Kwa jinsi nilivyofanya show, naona njia ni nyeupe ya kuwa staa wa kimataifa, kikubwa kujiamini na kujikubali. Uoga huwa unaniangusha, sura ngeni, muziki wangu mgeni, lugha niliyotumia pia labda...

 

10 years ago

Bongo5

Wasanii wa Tanzania kutotoa album ni uzembe, uoga na kutojiamini!

Wasanii wa Tanzania wana sababu nyingi sana za kwanini hawatoi album. Baadhi ya sababu kama kufa kwa mfumo wa uuzaji wa album uliokuwa ukifanywa na wahindi enzi za kanda za redio cassette na urudufuaji usio halali wa kazi zao unaofanywa na wafanyabiashara, zinaweza kueleweka kiasi na kutupa sababu za kuwasamehe. Lakini imefika wakati sasa wa […]

 

5 years ago

CCM Blog

CORONA:'PAPA AWATAKA WATU KUTOKUBALI KUSHINDWA NA UOGA'


Papa Francis amewataka watu kutosalimu amri kwa uoga wa virusi vya corona, na kuwataka kuwa "wajumbe wa uhai wakati wa kifo".
Kiongozi huyo wa kanisa katoliki alizungumza wakati wa sherehe za pasaka Jumamosi, katika kanisa la St Peter's Basilica ambalo lilikuwa na watu wachache.
Waumini wa Kikatoliki bilioni 1.3 kote duniani wana fursa ya kufuatilia ibada ya moja kwa moja mtandaoni.
Marufuku ya watu kutokutoka majumbani bado inaendelezwa katika maeneo mbalimbali nchini Italia ambako...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani