Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uongozi wa MDB waweka wazi ‘mkuki wa moyoni’ waliochomwa na Young Dee

Uongozi wa Millian Dollar Boys unaomiliki studio za Authentic za jijini Dar es Salaam umesikitishwa na kitendo cha ukosefu wa fadhila na shukrani, kilichofanywa na rapper Young Dee aliyekuwa chini yake. Millian Hivi karibuni Young Dee alidai kuwa uongozi huo pamoja na mambo mengine ulimzuia kuwa member wa kundi la Mtu Chee. CEO wa kampuni […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Young Dee aeleza kilichosababisha akaachana na label yake ya zamani MDB

Young Dee ameelezea kwa uchungu kitu kilichosababisha akaachana na label yake ya zamani, Millian Dollar Boys (MDB) baada ya bosi wa kampuni hiyo, Max Rioba kudai amezingua. Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM jana, Young Dee alisema hakutaka kuzungumzia suala la Max kwakuwa anaheshimu mchango wake katika muziki wake. “Kama uliona nimekukosea, call […]

 

9 years ago

Bongo5

Uliokuwa uongozi wa Young Dee watoa ofa ya video moja kwa kundi alilojitoa la Mtu Chee

Baada ya uongozi wa Million Dollar Boys (MDB) uliokuwa ukimsimamia Young Dee kusitisha kufanya kazi na rapper huyo, CEO wa kampuni hiyo na studio za Authentic, Millian ametoa ofa ya video kwa kundi la Mtu Chee ambalo Young Dee pia amejitoa. Kundi la Mtu Chee lililoanzishwa na rappers Stamina, Country Boy na Young Dee, leo […]

 

9 years ago

Global Publishers

Mkuki moyoni mwangu – 11

Hali ya Catarina bado ni mbaya na amelazwa katika hospitali ya Saratani ya Ocean Road, Jopo la madaktari wakishirikiana na Dk. Ngamila wamefanya matibabu ya awali ya dawa ya mionzi kuona kama angeweza kupata nafuu lakini haikuwa hivyo, Dk. Ngamila analazimika kuwaita wazazi wake na kuwaeleza majibu ya mtoto wao akiwaeleza kwamba pamoja na matibabu ya awali bado vimelea vya Saratani vilikuwepo kwenye damu.

Ushauri pekee anaowaeleza ni kumpandikizia Catarina Uboho kutoka kwa mtu mwingine hivyo...

 

9 years ago

Global Publishers

Mkuki moyoni mwangu 18

Catarina amelazwa hospitali ya Ocean Road akisumbuliwa na saratani ya damu, ugonjwa ulioibuka ghafla wakati akifuatilia afya ya Kevin, kijana waliyependana lakini hawakuwahi kuelezana ukweli wa mioyo yao.

Kevin hivi sasa anaendelea vizuri na ametoka hospitali na kurejea nyumbani, wazazi wake wamemkatalia kabisa kumuona Catarina ingawa alitaka jambo hili litokee. Matibabu ya mionzi yameanza kwa Catarina na wazazi wake wameelezwa kwamba yanaweza kuwa na madhara lakini inabidi wakubaliane kwani...

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa

Baada kuwa kimya kwa takribani miaka miwili, Kundi la Mtu Chee lililokuwa linaundwa na rappers watatu, Ibrahim Mandingo a.k.a Country Boy, David Genzi a.k.a Young Dee pamoja na Boniventure Kabogo a.k.a Stamina linarudi rasmi likiwa na mabadiliko. Country Boy Member na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo Country Boy amesema kuwa Mtu Chee imepata member […]

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram

Wiki iliyopita mmoja wa waanzilishi wa kundi la Mtu Chee, Country Boy alisema kuwa Young Dee amejiengua kwenye kundi hilo na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer. Wiki hii kuna cover imeanza kusambazwa ya ngoma mpya ya Mtu Chee ambayo kweli wanaonekana Country Boy, Stamina na Young Killer. Bongo5 imemtafuta Young Killer kutaka kufahamu kuhusu […]

 

5 years ago

Michuzi

TARI waweka wazi sifa zitakazotumika kumbaini mkulima mahiri

 Dkt.Tulole Lugendo Bucheyeki mkurugenzi wa kituo cha TARI Uyole akieleza namna walivyojipanga kuhakikisha mkulima anahusika na kilimo bora na chenye tija kupitia Mbegu zinazopatikana katika kituo cha utafiti Uyole. Lornad Sabula ni mtafiti kutoka taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania kituo cha Uyole,amesema wanashirikiana na mashirika mengine  kama Pata Tija pamoja na halmashauri kikamilifu kwenye kilimo ili kumuwezesha mkulima kunufaika. Jafari Mbogela Mkulima wa kijiji cha Ilunda akieleza...

 

10 years ago

Africanjam.Com

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani