Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TARI waweka wazi sifa zitakazotumika kumbaini mkulima mahiri

 Dkt.Tulole Lugendo Bucheyeki mkurugenzi wa kituo cha TARI Uyole akieleza namna walivyojipanga kuhakikisha mkulima anahusika na kilimo bora na chenye tija kupitia Mbegu zinazopatikana katika kituo cha utafiti Uyole. Lornad Sabula ni mtafiti kutoka taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania kituo cha Uyole,amesema wanashirikiana na mashirika mengine  kama Pata Tija pamoja na halmashauri kikamilifu kwenye kilimo ili kumuwezesha mkulima kunufaika. Jafari Mbogela Mkulima wa kijiji cha Ilunda akieleza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Uongozi wa MDB waweka wazi ‘mkuki wa moyoni’ waliochomwa na Young Dee

Uongozi wa Millian Dollar Boys unaomiliki studio za Authentic za jijini Dar es Salaam umesikitishwa na kitendo cha ukosefu wa fadhila na shukrani, kilichofanywa na rapper Young Dee aliyekuwa chini yake. Millian Hivi karibuni Young Dee alidai kuwa uongozi huo pamoja na mambo mengine ulimzuia kuwa member wa kundi la Mtu Chee. CEO wa kampuni […]

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana aweka wazi sifa za watakaochaguliwa kuwania urais

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema, wagombea wa nafasi mbalimbali wasiona mvuto na kukubalika hawatoteuliwa na chama kuwania nafasi yoyote ikiwamo urais katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Posho tulidai wazi, kura iwe wazi’

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ahmed Masoud Jongo amewataka wajumbe wasiogope kupiga kura za wazi kama walivyokuwa wakidai nyongeza ya posho hadharani.  Alitoa kauli hiyo juzi jioni alipokuwa akichangia...

 

9 years ago

Dewji Blog

Pires amwagia sifa Wanyama, asema ana sifa zote za kucheza Arsenal

robert-pires_3068381k

Robert Pires.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Robert Pires amemsifia mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya na Southampton, Victor Wanyama na kuwa ana sifa za kucheza Arsenal kutokana na ubora alionao.

Pires aliulizwa na mwandishi wa habari wa Kenya kuhusu uwezo wa Wanyama na kusema kuwa amekuwa akimwangalia mchezaji huyo na anamwona kama mchezaji mwenye uwezo mzuri ambao kama akiongeza juhudi anaweza katika ubora wa wachezaji bora wa dunia.

“Namjua Wanyama, ni balozi...

 

9 years ago

Vijimambo

5 years ago

Michuzi

TARI UKIRIGURU YAGUNDUA AINA 10 ZA MBEGU BORA ZA PAMBA


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (aliyevaa tai) akipata maelezo ya aina za mbegu bora ya pamba zilizogunduliwa na Kituo cha TARI Ukiriguru mkoa wa Mwanza leo.
Katibu Mkuu Wizara Kilimo Bw.Gerald Kusaya (katikati) akiongea na watumishi wa Chuo cha Mafunzo ya Kilimo MATI Ukiriguru alipofanya ziara ya kukagua utendaji kazi wa chuo hicho leo wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza.


Watumishi wa chuo cha Kilimo MATI Ukiriguru wilaya ya Misungwi wakimsikiliza Katibu Mkuu ( hayupo pichani)...

 

5 years ago

Michuzi

TARI- NALIENDELE MTWARA KUFANIKISHA MPANGO WA UJENZI WA UCHUMI WA VIWANDA

Na Mwandishi Wetu, MAELEZOSERIKALI ya Awamu ya Tano kupitia Wizara ya Kilimo imeendelea kuweka mazingira rafiki kwa wakulima na wafanyabiashara na pia kuboresha miundombinu ili kuwezesha upatikanaji wa chakula na masoko ya mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi katika maeneo yote nchini.
Dhamira hiyo inatokana na ukweli kuwa sekta ya kilimo  kuwa mhimili muhimu  katika  maendeleo  ya uchumi wa taifa letu ambapo Pato la Taifa linalotokana na kilimo, kwa kutumia bei za mwaka 2015 limeongezeka  kwa ...

 

5 years ago

Michuzi

WAJUMBE KAMATI YA WAWAKILISHI CCM ZANZIBAR WATENGA MILIONI 33,000,000/- ZITAKAZOTUMIKA UTENGENEZAJI WA BARAKOA NA KUSAMBAZWA KWA WANANCHI

 Mfanyabiashara Mohamed Ibrahim Raza akionyesha Uzalendo wake wa kukubali kusaidia mchango wowote utaohitajika na Serikali katika Ustawi wa Jamii Nchini. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kulia akionyeshwa moja ya aina ya vitakasa mikono vilivyotolewa na Mfanyabiashara Mzalendo Nchini Mohamed Ibrahim Raza {Raza Lee} kusaidia mapambano dhidi ya kuangamiza Virusi vya Corona Nchini.Kati kati yao ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ukatili wazi wazi CAR

Katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, Waislamu wengi wanatoroka makao yao kutokana na hofu ya vita dhidi yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani