Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upelekaji umeme Kakondo waanza

MPANGO wa kupeleka umeme Makao Makuu ya Wilaya za Kakonko, Buhigwe na Uvinza umeanza kutekelezwa Aprili mwaka huu. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, alitoa kauli hiyo bungeni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Upelekaji umeme Magu wakamilika asilimia 53

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles MwijageUTEKELEZAJI wa upelekaji wa umeme katika vijiji kadhaa wilayani Magu umekamilika kwa asilimia 53, Bunge lilielezwa jana.

 

11 years ago

Habarileo

Mradi wa umeme nafuu Kenya, Tanzania na Zambia waanza

UJENZI wa miundombinu ya kusafirisha umeme kutoka nchini Kenya kupitia Tanzania mpaka Zambia unaotarajiwa kupunguza bei za umeme kwa nchi husika umeanza, huku mawaziri wa sekta ya nishati kwa nchi husika wakikubaliana kukamilisha mwishoni mwa mwaka 2016.

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA, KENYA, ZAMBIA WAANZA KUJADILI UTEKELEZAJI MRADI UMEME WA PAMOJA

Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam
Wataalamu kutoka nchi za Zambia, Kenya na Tanzania kutoka Wizara zinazoshughulika na masuala ya nishati wameanza majadiliano ya Utekelezaji wa Mradi wa Kuunganisha Mtandao wa Umeme katika Gridi za nchi hizo. Kikao cha Majadiliano hayo kiliongozwa na Makatibu Wakuu kutoka katika nchi husika na kitafuatiwa na mkutano wa Mawaziri utakaofanyika tarehe 30 Septemba, 2014 jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika kikao hicho Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI NA NAIBU WAKE WAANZA KAZI RASMI KWA KUTEMBELEA MRADI WA UMEME WA KINYEREZI

Meneja Mradi wa Kinyerezi I kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Mhandisi Simon Jilima (katikati) akielezea maendeleo ya mradi wa Kinyerezi I. Kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati) Mhe. Charles Mwijage na Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene. Kushoto kabisa ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava.Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati) Mhe. Charles Mwijage (kulia) akitoa maelekezo kwa wataalamu wanaosimamia...

 

11 years ago

Michuzi

Shoti ya Umeme yasababisha Kukosekana Umeme Baadhi ya Maeneo Zanzibar leo

                     Hii ndio breaker liyoungua na kusabibisha maeneo ya mjini Ubguja kukosa umeme leo


 Mafundi kutoka ZECO wakiwa katika harakati za kutengeneza panel iliyoleta hitilafu za umeme na kupelekea maeneo yote ya mji wa Unguja kukosa umeme


Baada ya kukamilika kwa matengenezo


Kuamkia alfajiri ya leo ya tarehe 17/06/2014 maeneo yate ya mji wa Unguja na maeneo jirani ya mji wa Unguja yalikumbwa na ukosefu wa umeme uliotokea kuanzia majira ya saa 11 asubuhi hadi saa 7 mchana...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA





Mhandisi  Emmanuel Manirabona akiwaeleza  wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishi wa  habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo

Afisa mwandamizi makao makuu ya Tanesco Leni Kiobya  akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini




Akiwaonyeshea wandishiwa habari moja ya nyaya  ambazo zilizokatwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika.

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.

Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani